Uchafu mitaani Dar: Nani alaumiwe?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,945
Points
2,000

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,945 2,000
Nipo dar kwa siku yatano sasa nilichogundua hapa ni
1)Uchafu kuna uchafu wa kutisha lakini cha ajabu wakazi wake hawaushangai manake kama ni sehemu ya maisha yao. usishangae dar ukaona sufuria la supu katikati ya maji machafu ila watu wanakunywa na hawahofu.
2) Tatizo la usafiri hadi inakera hili lipo na litaendelea kuwepo.
3)Joto kama kawa.
Mkuu hujakamilisha orodha yako....jiji LINANUKA. Ukipita mitaani unasikia harufu ya inya kutokana na mifereji ya maji machafu ya choo kuelekezwa kwenye mifereji ya barabara. Kwa kweli ni aibu kubwa.
 

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
2,050
Points
1,500

HUGO CHAVES

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
2,050 1,500
Mkuu ni kweli pita ferry ujionee kuna inzi wengi sana wanatishia afya za binadam hii ni kutokana na kitengo cha afya jiji kutokuwa makini kwa kupuliza dawa za kuua mazalia ya inzi ,pili mizoga ya samaki imeegeshwa getini hapo na kutoa maji yenye harufu kali .ukizingatia mabomba havatoi maji siku ya nne sasa ,pamoja na idadi kubwa ya wakaz bado wanaweza kutii taratib na sheria za usafi walizojiwekea hii inanipa picha kuwa mazingira haya wameyazoea
 

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
1,829
Points
1,500

KVM

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
1,829 1,500
Dar inanichefua kwelikweli. Natafuta kila njia nisiishi Dar. Nikisema Dar ni kuanzia Mlandizi hadi Ferry. Kute kunanuka.
 

ram

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
7,703
Points
2,000

ram

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
7,703 2,000
kiukweli dar inanukaga, huo mji wameuzoea wenyewe, cc wa mikoani kama wanavyotuita hatupawezi
Dar inanichefua kwelikweli.
Natafuta kila njia nisiishi Dar. Nikisema Dar ni kuanzia Mlandizi hadi
Ferry. Kute kunanuka.
 

Forum statistics

Threads 1,380,841
Members 525,893
Posts 33,781,323
Top