Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 1,717
- 2,500
nilimsikia spika wa bunge akiuliza pia kuhusu hili.yaan mie huwa nacheka sana, ila SUA hapan wamejua kukomesha.
nilimsikia spika wa bunge akiuliza pia kuhusu hili.yaan mie huwa nacheka sana, ila SUA hapan wamejua kukomesha.
Kwa hio unataka Phd, masters nk wasiende kwenye siasa, kwa nini ?
Tuongozwe na std 7 na form 4 ety
Wee lini hiyo ilikua? Mbna sijaona eti?nilimsikia spika wa bunge akiuliza pia kuhusu hili.