Salaam
Kwa waliopo SUA na Mazimbu campus kwasasa au wamepita hivi Karibu nadhan hawatashangazwa na hili.
Hiki chuo miondombinu yake imechoka Sana kuanzia ofisi, madarasa, vyoo, hostel Hadi maabara zimechoka mno
Vyoo ndo kabisa barabara nazo shida kwa kweli mazingira yake hayafanani na chuo kikuu.
Campus ya mazimbu ndo kabisa unaweza dhani sijui upo secondary kuna darasa lipo nje mvua ya upepo ikinyesha inabid kipindi kihairishwe.
Serikali angalieni hili kile ni chuo chenu Wala sio Cha private rekebisheni miondombinu kabla haijaleta madhara
Nawasilisha.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app