Kweli kabisa asee eti mtu anasema techno inaacha mbali simu zenye majina hahaaaaa! Techno unafananisha na SONY XPERIA Z unaakili kweli wewe!
Acha ushamba hiyo sony ina nini cha ajabu,kama inatumia android hakuna tofauti.
Kweli kabisa asee eti mtu anasema techno inaacha mbali simu zenye majina hahaaaaa! Techno unafananisha na SONY XPERIA Z unaakili kweli wewe!
Hahahahahahahahahahaaaaa,nimegundua nini ujue mkuu,mliopigwa kwa kununua misimu ya bei kubwa mna wivu sana na tecno kwa kuwa ni durable,capable na zina kila kitu ambacho simu zenu za bei kubwa zilichonacho,
so mnabakia na jealosy,ooooh michina,oooh mionzi n.k,wakati kabla hata michina haijaanza kuingia habari za simu za mikononi kuwa zina madhara yenye mionzi tumeshazisikia,so hyo sio habari mpya,manikoleza tu kutokakana na wivu wenu,teh teh teh teh
Duuuuuuh,kumuelewesha mbongo ni kazi kubwa sana na ndio maana hata kumuelimisha pia ni gharama sana kwani kila mara atarepeat a year kwa kufeli mara kwa mara,itabidi alipiwe ada tena,
wakati kuna wengine nao walitakiwa kulipiwa hyo fedha ili wasome,Mkuu umewahi kutumia tecno za hizi series tunazoziongelea au umekariri tu michina sio simu,unazijua Huawei ascend y300 kaka?
nazo ni michina,kama huna taarifa mkuu hao wenye masimu yenye majina mnaowaaminia wapo matumbojoto kutokana na uwezo wa hizo simu unazozidharau kwani zinawaharibia soko lao,fanya utafiti kwa watumiaji wa michina hyo uone wanakupa ripot zipi kuhusiana na ubora wa hizi simu kaka upo ?
aliyechezea akili ya mateja wa sumsung alikufa natumia sumsung galaxy s4 min pemben na tecno phantom F7A+ nilifanya hvyo kuondoa ugiza kichwani achen tecno wafanye kazi bonge la simu tecno
Km unataka simu nunua tecno lkn km unataka kununua majina nenda ktk hizo nokia, samsung, lg nk
True. Tatizo watu hawaelewi nadhani. Kinachomatter ni unataka nini kwenye simu. Camera ya ukubwa upi? Uwezo wa simu upi? Battery inaweza kaa muda gani nk. Kusema TECNO haifai ni kosa.
Haifai kwako. Mbona unaendesha Vitz badala ya Pollo au Golf kama unajifanya ni mtu wa quality? Na isitoshe TECNO inauwezo mkubwa wa kutunza charge zaidi ya smartphones zingine. Nunua bro wasikubabaishe. Phantom. Ni zaidi ya simu. WIFI yake ina nguvu balaa.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwa hiyo wewe ndio umeelimika? Sema ukinunua tecno huna sababu ya kununua HOME THEATER tena coz hiyo inapiga two in one
Usemayo ni kweli tupu,mi mwenyewe nilikuwa natumia iphone 3 lkn nimegundua haiwezi kuifikia tecno p3,tecno ziko juu hizo simu nyingne ni mbwembwe tu na ukubwa wa majina lkn zinazidiwa mambo mengi tu na tecno
Apo akuna sm waku kweny mtandao zip sro sana tecno
Sijakuelewa! Unasema Tecno iko slow kwenye mtandao?!!! Ni aina gani ya Tecno uliyonayo? Sema bila ushabiki kk.
Ni Kiulize tena, unatumia mtandao gani I.e voda tigo au airtel! Na ni eneo gani unashi, usije ukawa UK out of 3g service!
Kuna p5