endelea kujidanganya! Simu wala haipo kwenye mtandao wa simu gsmarena... Ipo kwenye ma blog tu!!
Unakielewa unacho kiandika mkuu?? Au umekalili? Acha kupotosha watu wewe ,unaijua gsmarena ni kitu gani na inafanya kazi kwa principle zipi? Tofautisha africa na europe devices promotion then uijue tecno ni kwa ajili ya soko gani na hiyo gsmarena inafanya promo za soko gani ''
kwanza unajua tecno inatengezwa kwa authority ipi??
Acheni kuwa washamba wa kuuziwa bidhaa kwa majina hata kama hazina viwango. For sure samsang na tecno kwenye hardware hazina tofauti kwa wale mafundi wa electronics wanao jua mainboard chip na kazi zake watakuwa wamenielewa vizuri samsung,lg,huawei,htc,sony Ericsson experia,'nexus,nokia,nk.
woote hardware machanism wanayotumia ni yaaina moja kasoro mfumo wa camera ndio wengine wame tumia carlzeiss techology ambapo wengine wametumia techologia za camera kama ,cmos na nmos na ccd sensors
Lakini kwa sehemu mifumo mingine yote ndani ya cm inafana kama tofauti mi michoro ya circuit tu kulingana na umbile la cm husika ,ambacho nimenote ni kwamba watanzania wengi t----------- na majina ya makampuni kongwe wakati bidhaa zipo chini ya kiwango.
mfano Simu nyingi za samsung wamechemka kwenye swala zima la power suply system ndio mana cm zao nyingi zinapata sana joto hasa pale zinapo fanya kazi ngumu kama 3g network and the like
Lakini tecno kwa hili naona wamejitahid si kwamba naipigia debe tecno hapana nina cm zote mbili hapa tecno na samsung na si kwangu tu hata kwa wenzangu wengi hilo lipo wazi na baadhi yenu hapa ni mashahidi wa hili