Sa nijidanganye nn wakati karibia kila kitu kifanywacho na simu zenu zenye majina simu yng pia inafanya na simu ina muda mrefu tokea niinunue na haijawahi kunisumbua,wabongo acheni kukremu,
mnapigwa kwa misimu yenu mnayoiamini lakini nyie mpo tu,yaani kama mizukule vile aisee,poleni,endeleeni kutapeliwa na muwatajirishe watu kupitia ulimbukeni wenu wa kukariri!!
We afya yako mgogoro tu bana. Huyu asitake matatizo yake yawe matatizo ya watanzania wote. Mi mwenyewe nna mpango wa kujilipua na hizo gajeti. Ma-compliment yanaonyesha hizo kitu ni hao yong kinoma m2 we2.Ni uduni wa hali zetu kiuchumi,hardware quality ya hizi still ni poor,nimezoea hizi simu zingine,nikitumia za kichina nahisi ngoma ya sikio inauma na joto sikioni......ni kama vile haya ma TV ya kichina,nikiangalia mara nyingi napata kero machoni...you just feel eyes ain't comfortable.
Zinakidhi haja ya kuwa na smartphone just Bcoz they use the same software..but hardware quality still mama huhu
Heshima zenu wakuu. Tafadhari naomba wajuzi wa teknolijia hii mnisaidie kujua ubora na bei ya smartphones zifuatazo. Najipanga kupata mojawapo baada ya kupata ushauri wenu maana sijawahi kumiliki tecno kabisa.
1. Tecno F7 (Phantom A)
2. Tecno F8 (Phantom A2)
3. Tecno M7
4. Tecno M5
5. Tecno P5
Natanguliza shukurani wakuu.
Hizo zote mbwembwe tu simu ya ukweli ni NOKIA 1280 chaji wiki nzima full network
We kweli wa Pandagichiza! Nokia 1280 ni smart phone au huelewi mada inazungumzia nini?
Techno wapo juu hakuna ubishi.
mbona mabasi yote siku ni ya kichina na mnapanda. Km angekuwa mchina ni bomu wale waliokuwa wanaleta scania wasinge gaili. Techo yupo juu
Heshima zenu wakuu. Tafadhari naomba wajuzi wa teknolijia hii mnisaidie kujua ubora na bei ya smartphones zifuatazo. Najipanga kupata mojawapo baada ya kupata ushauri wenu maana sijawahi kumiliki tecno kabisa.
1. Tecno F7 (Phantom A)
2. Tecno F8 (Phantom A2)
3. Tecno M7
4. Tecno M5z
5. Tecno P5
Natanguliza shukurani wakuu.
Alieleta mada labda hakueleweka au mchangiaji atakua anauza bidhaa hizo lakin ukweli sim hizo za techno hata kama ni nzuri vip hazina spare. Nimekwenda mpaka kwenye maduka yao hawana spare. mtu kanitumia sim yake tokea iringa matikeo yake nimepata aibu.