Chaji vipi kama ukiwa online 24/7?
P5 ni laki na sitini.
P3 ni kama laki na ishirini hadi na thelathini.
M5 waliniambia ni 340,000/=
hizo simu ndio kimbilio letu,hatuangalii majina sisi bali specifications,durability na capability,zina kila kitu aisee na ukienda google store ndio kabisaaaaa,cjawahi kujuta kununua hii simu aisee,ni p3 tu,hzo phantom ndio usipime,hata hzo zenye majina zinazidiwa kwa mbali sana
techno hawana spare.
inategemea uko mkoa gani lakini bei zake 150,000 - 190,000..
endelea kujidanganya! Simu wala haipo kwenye mtandao wa simu gsmarena... Ipo kwenye ma blog tu!!
Sa nijidanganye nn wakati karibia kila kitu kifanywacho na simu zenu zenye majina simu yng pia inafanya na simu ina muda mrefu tokea niinunue na haijawahi kunisumbua,wabongo acheni kukremu,
mnapigwa kwa misimu yenu mnayoiamini lakini nyie mpo tu,yaani kama mizukule vile aisee,poleni,endeleeni kutapeliwa na muwatajirishe watu kupitia ulimbukeni wenu wa kukariri!!
mchna ni mchna tu hata sku moja huwez kusema ni imara hata sku moja. Ni unafuu wa bei na mbwembwe za muonekano wa bidhaa za kchna tu vnawavutia weng wanachkua lakn hamna kila kitu hapo
Kama ungepata phantom A+ aisee hiyo ni noma!
I need not know the virtures of a chinese phone when I can afford a Samsung.