Ubora na bei za tecno smartphones

Ubora na bei za tecno smartphones

Alieleta mada labda hakueleweka au mchangiaji atakua anauza bidhaa hizo lakin ukweli sim hizo za techno hata kama ni nzuri vip hazina spare. Nimekwenda mpaka kwenye maduka yao hawana spare. mtu kanitumia sim yake tokea iringa matikeo yake nimepata aibu.
njoo Nairobi kwenye duka la valid name happy life hats kwa mafundi spare za techno xiko tele
 
Unasema ukweli au unaleta mzaha! Hii kitu nlikuwa nayo nimempa dogo matatizo kibao

unaongea kweli mdau! Bora wewe ulimpa dgo mie ilinifia Mkononi Hata miezi mitatu haina. tangu Wakati huo niliichukia hii kampuni mazima
 
Mimi natumia Techno m7 kwa upande wa charge inajitahidi masaa21 kama cku sina matumizi sana inazidi masaa24
 
Tatizo lako umetawaliwa na na mfumo wa kizamani samsung ina mapungufu mengi ambayo tecno wamejaribu ku deal with. Ni kweli wewe ni mpenzi wa samsung labda kwa vile ni favorite brand yako na huenda ndiyo uliyo nayo lakini hilo haliwezi kuzuia tecno kuizid kiutendaji na huenda hujajarbu brand zingine umekuwa mtumwa wa samsung tu

Lakini wenzio wanaongea kwa facts na research ambayo wamejaribu kuifanya kwa kuzilinganisha hizo simu in tems of hardware mechanism and software pplications na wameweza kutoka na details zenye vigezo na ushahidi kutetea hoja zao ,kuhusu swala la bei si hoja ya msingi kwani hata gari aina ya bughati inauzwa pesa nyingi sana lakini pamoja na pesa yote hiyo haiwezi kufikia uwezo wa tractor au scania 113 kiutendaji.

Nadhani sasa atakuwa ameshaelimika maana hilo ulilolitoa no somo tosha
 
Juzi niliiona kwa mdau mmoja tecno R7 kwa kweli iko vuzuri, kina samsung Watabaki jina tu
 
kuna ile cjui ndo phantom model nadhani mshkaj wangu aliinunua laki 4, ina specification za kufa mtu njoo kwenye camera ikipiga picha usiku unaweza kucheka mpk basi, ni giza giza tu mwanzo mwisho mpk jamaa ameiuza kwa 120,000
 
Tecno ni simu za kawaida sana na zikisha alibika kupata solutions zake inakua ngumu mm ni fundi simu upande wa hardware hizo simu nazifahamu sana na sio simu za kuzishobokea.
 
Mzee umetisha saaana kula like nyingiiiii, natumia galaxy s3, sio clone bt ukiweka chaji (coz piA ni tatizo) alafu eti ufungue data 3g simu unaweza sema imebaki dakika 3 ilipuke kama nyuklia at the same time nina tecno H6, haaa yaan iko cool mpaka basi itumie uwezavyo, simu haichemki wala kuwaje, izi brand name ndo kinachotuua hapa but simu nyingi especially android phone mwendo ule ule, labda uko ios na nokia ndo nahisi utofaut kingine hizi simu ni ghali sana. Wenye uwezo wacha wanunue lakin sioni cha ziada, ni sawa na laptop mara dell, toshiba, hp, ibm,compaq, samsung nahisi ni mulemule tu, njoon wa apple tuzungumze.
Naomba kuwasilisha
 
Unakielewa unacho kiandika mkuu?? Au umekalili? Acha kupotosha watu wewe ,unaijua gsmarena ni kitu gani na inafanya kazi kwa principle zipi? Tofautisha africa na europe devices promotion then uijue tecno ni kwa ajili ya soko gani na hiyo gsmarena inafanya promo za soko gani ''
kwanza unajua tecno inatengezwa kwa authority ipi??

Acheni kuwa washamba wa kuuziwa bidhaa kwa majina hata kama hazina viwango. For sure samsang na tecno kwenye hardware hazina tofauti kwa wale mafundi wa electronics wanao jua mainboard chip na kazi zake watakuwa wamenielewa vizuri samsung,lg,huawei,htc,sony Ericsson experia,'nexus,nokia,nk.

woote hardware machanism wanayotumia ni yaaina moja kasoro mfumo wa camera ndio wengine wame tumia carlzeiss techology ambapo wengine wametumia techologia za camera kama ,cmos na nmos na ccd sensors

Lakini kwa sehemu mifumo mingine yote ndani ya cm inafana kama tofauti mi michoro ya circuit tu kulingana na umbile la cm husika ,ambacho nimenote ni kwamba watanzania wengi t----------- na majina ya makampuni kongwe wakati bidhaa zipo chini ya kiwango.

mfano Simu nyingi za samsung wamechemka kwenye swala zima la power suply system ndio mana cm zao nyingi zinapata sana joto hasa pale zinapo fanya kazi ngumu kama 3g network and the like

Lakini tecno kwa hili naona wamejitahid si kwamba naipigia debe tecno hapana nina cm zote mbili hapa tecno na samsung na si kwangu tu hata kwa wenzangu wengi hilo lipo wazi na baadhi yenu hapa ni mashahidi wa hili

Mzee umetisha saaana kula like nyingiiiii, natumia galaxy s3, sio clone bt ukiweka chaji (coz piA ni tatizo) alafu eti ufungue data 3g simu unaweza sema imebaki dakika 3 ilipuke kama nyuklia at the same time nina tecno H6, haaa yaan iko cool mpaka basi itumie uwezavyo, simu haichemki wala kuwaje, izi brand name ndo kinachotuua hapa but simu nyingi especially android phone mwendo ule ule, labda uko ios na nokia ndo nahisi utofaut kingine hizi simu ni ghali sana. Wenye uwezo wacha wanunue lakin sioni cha ziada, ni sawa na laptop mara dell, toshiba, hp, ibm,compaq, samsung nahisi ni mulemule tu, njoon wa apple tuzungumze.
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom