Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

Pasco uwezo wako wa kuchambua Mambo nauona unaporomoka kwa kasi ya kimbunga. Hoja ni ubobevu wa Dr. Tulia kwenye sheria wewe unaleta story za matokeo ya form six. Wangapi walifail mitihani yao lakn leo ni watu makini kwenye fani zao. Refer professor muhongo ambaye inasemekana alifail darasa la saba zaidi ya mara tatu bt leo ndio miongoni mwa wataalam wabobevu wa geology duniani. Pole yako mkuu. Bt nikubaliane na wewe kuwa kwa kuwa na PhD tu tayari unakuwa na sifa ya kuwa mbobevu

Bado tuna kazi kubwa sana. Yaaani mtu akimaliza PhD anakuwa kabobea? Na Postdocs za nini? Publications za kazi gani?
 
Huu ni mfano dhahiri siku nzi akiacha ujinga atatengeneza asali ,Mkuu umenifurahisha kwa mpangilio wa hoja zako na ushaidi unaotetea hoja yenyewe kwamba hujaona ubobezi wa Tulia katika sheria

Ah ah ah umenifurahisha sana...nzi akitulia na kuacha ujinga kuna siku atatengeneza asali ....

Nzi is good at research anyway! Kitendo cha kutuonesha rangi halisi ya spika kwenye ubobezi ni ushahidi wa ubobezi wa nzi kwenye risechi!
Ila haraka apa nawaza kuwa uenda hawajasema ni expert ila ni master.! Yani amemasta au amezamia kisheria .... Hongera tulia ackson for shortest shortcut ever. Wako wengi na hata waliokaa ccm miaka50 wanatamani wawe ulipo now but sir God kakupa shortestcut ever! Hongera
 
kwenye hayo majarida hapo sioni hata moja la tanzania kati.

ya page 400 zote hakuna hata moja la kwetu
 
Tanzania tuna namna yetu ya kutathmini utendaji wa kitaaluma ambao msingi wake mkuu ni uswahiba na chama na dola.

Vinginevyo sioni jinsi ya kuelezea mambo haya

Huyu dada hata lugha yake ya mwili inaonyesha kawekwa tu hapo.

Kuna kila dalili ya yeye kuwa na mtu au watu nyuma yake.

Sasa hebu jiulize...hivi kweli angeuweza uspika huyo?

Unajua kuna mambo mengine hayaingii kabisa akilini aisee.
 
We kibokooo Ila utaambulia matusi humu. Ila ulichofanya ni cha msingi sana. Ila kwa Tanzania atasurvive
 
Hongera sana kwa uchunguzi ulioufanya. Sasa inawezekana Masaju ndo alishauri aingie bungeni ili awe anamsaidia. Lakini niseme tu kuwa na PhD kwenye fani yo yote haina maana mtu.ni mbobevu. How much one has published ndo inakaunti. Lakini pia ame-publish nini also matters. Labda ndo maana alishindwa kujibu swali la Silinde.
It's not just publication where did you publish matters too I mean reputation ya Journal ulikopublish . Simjui Ila kwa hayo yalioandikwa hapo she is not competent
 
Huyu dada hata lugha yake ya mwili inaonyesha kawekwa tu hapo.

Kuna kila dalili ya yeye kuwa na mtu au watu nyuma yake.

Sasa hebu jiulize...hivi kweli angeuweza uspika huyo?

Unajua kuna mambo mengine hayaingii kabisa akilini aisee.

Mkuu huku kwetu hatuombi kazi eti kwa sababu tunaziweza. Huwa tunajaribu kujaza nafasi. Mfano mzuri ni speaker aliyepita ambaye alibeba jinsia na kuitendea kazi negatively.
 
Abdallah Possi kumuokoa kweli lasivyo angekuwa na nukuu sifuri,amshukuru sana kiongozi wa T.A.S

✅Kwa kifupi tulia ni Kanjanja tu.
 
Hebu ngoja tutumie mantiki kidogo. Haya, anadai kabobea kwenye kutafsiri kanuni za bunge, sheria za nchi na katiba. Huo ubobezi kaupataje? Keshawahi kufanya kazi bungeni na kupata tajiriba ya kiutendaji [practical experience]?

Ni wapi, lini, na kwa muda gani kawahi kutafsiri kanuni za bunge?

Haya ni maswali magumu kupata majibu yake kwa nilichokiandika na kusikia video ya kujieleza kwake...hivyo kusema kwamba amebebwa ni sahihi kabisa...kwa sababu bado sijaona vigezo vya kumfanya apate hii hype inayotengenezwa..
 
kwenye hayo majarida hapo sioni hata moja la tanzania kati.

ya page 400 zote hakuna hata moja la kwetu

Kuna vigezo ambavyo majarida upaswa kuwa navyo ili kuwekwa kwenye orodha ya kupata 'impact factor'...naamini majarida mengi ya Kitanzania hayajakidhi vigezo hivyo au pengine wanaoendesha majarida hayo hawajatuma maombi kwa ajili ya kupata hiyo 'impact factor'.
 
Sina jibu la swali lako lakini nimefurahishwa na kufikirishwa na shahidi za hoja yako na labda nimejengeka pia. Ahsante mkuu.
 
Mleta maada umedhirihisha kwamba wewe ni Inzi kweli.

Inzi hatofautishi pilau na kinyesi. Nina imani umenielewa. Hivi ubobezi unamlinganisha na nani?

Kwenye kambi ya Nyumbu kuna wa kumlinganisha naye?

Unaleta mambo ya ku publish academic articles hadi unaongelea impact factor ya journal. Hivi unafikiri mambo hayo ni relevant kwenye jukwaa hili.

Wewe binafsi umewahi kutoa article kwenye jarida hata kama halina hiyo impact factor?

Hivi unajua mbinu zinazotumiwa na majarida kupata impact factor kubwa?

Hata PhD thesis unadai haijawa cited. Labda ungesoma na kusema haina jipya. Labda supervisors wake na examination team waliona inafaa kuwa PhD.

Mimi nikisoma post ya mtu lazima niangalie Avatar na Signature yake. Hapo napata mengi kama ya kwako.

Angalia huyu fisi maji naye. .. Ni lazima kila post uchangie?
 
Kuna vigezo ambavyo majarida upaswa kuwa navyo ili kuwekwa kwenye orodha ya kupata 'impact factor'...naamini majarida mengi ya Kitanzania hayajakidhi vigezo hivyo au pengine wanaoendesha majarida hayo hawajatuma maombi kwa ajili ya kupata hiyo 'impact factor'.
ok kukosa vigezo si ndio kuonesha tatizo la elimu yetu?

KM HAYANA VIGEZO wanatuchappishia sisi ili tusome tunufaike nini?

halafu nini impact ya kuandikia mada ambayo imeandkwa sana au ni ngeni sana? hii haiwezi ikawa sababu ya yy kutokuwa cited? sababu huenda watu wanahisi hawatapata information za kutosha kufanya hizo mada ndio maana hawaziandikii hivyo kutomcoute.
 
Mtu mwenye PhD sio mbobevu ila ameonesha nia ya kuja kubobea. Wabobevu ni mafull professor waliotoa inaugural lecture. Kama akina Shivji kwenye Sheria, akina Mbwette kwenye Maji, akina Mwandosya kwenye electoniki n.k.
Shwadaktaaa, ewaaaa.. Thanks mkuu
 
Hivi tukimchukua Dr.Tulia tukamlinganisha na Mh.Ndugai na mama Makinda mathalani, hivi hawa kwenye ubobezi wa sheria wapo sawa? Hivi hili neno kubobea nd'o linalotoa mtu roho kujaribu kufanya mjadala usioisha? Basi tufanye DrTulia ni msomi mzamivu wa sheria hajabobea kama ambavyo inaonekana Nzi,Nyani Ngabu and Co hilo linawatesa sana. Manake hata tujadili vipi habari haibadiliki nd'o naibu spika sasa yupo anakula bata sasa. Na si mbobezi.
 
Back
Top Bottom