Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?

Nzi

unapoteza muda wako

article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?

unafahamu journals ngapi dunia hii?

unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu

suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa

Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU

Aisee Nzi angekuja na maneno kama haya ningemtilia shaka,msome tena nzi labda utamwelewa
 
Last edited by a moderator:
hii inanikumbusha JF ya miaka ile.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwanza kabla ya kuanza kuelezea machapisho ya Dk. Tulia Ackson ulipaswa utueleze neno ubobezi kwako lina maana gani na kitu gani kinafanya binadamu akaitwa mbobezi katika sheria.

Jenga kwanza msingi wa hoja yako kabla ya kuanza kuelezea unachotaka kukichambua.

Sasa wewe kwenye hayo machapisho nane ya Tulia hujaona maana ya ubobezi mtoa mada kaainisha vizuri tu ,kakuletea Google scholar, researchgate ,academia.edu .....bado tu hujaelewa ??
 
Nzi

unapoteza muda wako

article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?

unafahamu journals ngapi dunia hii?

unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu

suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa

Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU

Wabe, vipi unamtetea bila sababu? Mwenye mada kaandika nadhani kwa sababu ya tabia ya CCM. kila mtu wanamkweza bila sababu. Sasa hivi mama huyu anatambulishwa kama mtu aliyebobea na hiyo ndo sababu watu wanafuatilia.

Hiyo mifano uliyotoa ya Ph.D, spika n.k. haina maana sana ktk kutafuta kubobea kwake maana kila kiumbe kina ubingwa wake. Tembo ana kinyesi kikubwa sana! Ngiri anakula mihogo sana! Farasi na punda wanabeba mizigo sana! n.k so what? ndo tuwaite wamebobea? Ukisema amesoma na kubobea basi lazima vigezo vya mwandishi viheshimike. Kama haonekani, hiyo ni kusema ni wa kawaida, hana ziada.
 
Nzi

unapoteza muda wako

article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?

unafahamu journals ngapi dunia hii?

unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu

suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa

Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU

Mwanataaluma yoyote mzuri angehoji kama alivyohoji mtoa mada. Hajapinga kwamba hana PHD wala hajasema kwamba hafai kuwa Naibu spika, kuna faida kadhaa kufahamu ubobezi wa mwanataaluma kama njia ya kupanua uelewa
 
mbwembwe za wabongo tu kaka c unajua tena tulivyo na sifa za kijingaa

Unanikumbusha mbunge ambaye kila wakati anasema Tundu lisu alikuwa mwanafunzi wake, wakati yeye mwenyewe aliondoka UD bila mafanikio yoyote ya maana na kuamua kuwa mbunge. hakupanda cheo kwa mchango wake mbovu ktk akademia.
 
kuwa dr. si kigezo cha mtu kuwa mbobezi . kwa tuliofika university tunao ma- dr wengi tu vilaza kazi yao kutoa assignment kila siku na usumbufu usio na maana kwa wanachuo . ila kwa mtu ambaye hajafika chuo anaona phd kama kitu cha ajabu sana
 
Mleta maada umedhirihisha kwamba wewe ni Inzi kweli.

Inzi hatofautishi pilau na kinyesi. Nina imani umenielewa. Hivi ubobezi unamlinganisha na nani?

Kwenye kambi ya Nyumbu kuna wa kumlinganisha naye?

Unaleta mambo ya ku publish academic articles hadi unaongelea impact factor ya journal. Hivi unafikiri mambo hayo ni relevant kwenye jukwaa hili.

Wewe binafsi umewahi kutoa article kwenye jarida hata kama halina hiyo impact factor?

Hivi unajua mbinu zinazotumiwa na majarida kupata impact factor kubwa?

Hata PhD thesis unadai haijawa cited. Labda ungesoma na kusema haina jipya. Labda supervisors wake na examination team waliona inafaa kuwa PhD.

Mimi nikisoma post ya mtu lazima niangalie Avatar na Signature yake. Hapo napata mengi kama ya kwako.
 
Nzi

unapoteza muda wako

article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?

unafahamu journals ngapi dunia hii?

unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu

suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa

Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU

Kwa akili hii wewe tayari ni hasara kwa taifa hili lililofanywa masikini....
Jitahidi sana usipate mtoto ili tusije kupata hasara tena na tena

Hongera mtoa post kwa kutoa muda wako kufanya utafiti huu,taifa linahitaji watu kama wewe ili tujikwamue kutoka hapa tulipo
 
Wataalamu wa lugha wangetuambia kuwa neno "kubobea" lina maana gani? Baada ya hapo tusome bango la mkuu Nzi.
Kubobea kwa kiingereza lina maana ya "specialization". Dr. Tulia Akson amebobea "specialized" katika maswala ya sheria. Sioni kuna kosa. "Daktari amebobea kwenye magonjwa ya wanawake", n.k . Labda kama mnataka kuleta siasa, lakini Dr. Tulia amebobea kwenye maswala ya sheria.
 
Last edited by a moderator:
1. Hayo machapicho manane tu inawezekana yanatosha kumtambulisha kama mbobezi hata kama yamekosa "appreciation" au kile ulichokiita "academic impact" .

2. Au inawezekana eneo lake la ubobezi wa sheria ndilo linalosababisha maandiko yake yakose impact!

3. However, kwangu mimi siwezi kumwita "mbobezi wa sheria" kwa ushahidi huu uliouweka hapa na naamini atapata shida sana kwa wanasheria kama Tundu Lissu na wengineo humo bungeni otherwise uendelee kutumika uhuni kama ule ktk kesi ya mita 200!!
 
Mleta maada umedhirihisha kwamba wewe ni Inzi kweli.

Inzi hatofautishi pilau na kinyesi. Nina imani umenielewa. Hivi ubobezi unamlinganisha na nani?

Kwenye kambi ya Nyumbu kuna wa kumlinganisha naye?

Unaleta mambo ya ku publish academic articles hadi unaongelea impact factor ya journal. Hivi unafikiri mambo hayo ni relevant kwenye jukwaa hili.

Wewe binafsi umewahi kutoa article kwenye jarida hata kama halina hiyo impact factor?

Hivi unajua mbinu zinazotumiwa na majarida kupata impact factor kubwa?

Hata PhD thesis unadai haijawa cited. Labda ungesoma na kusema haina jipya. Labda supervisors wake na examination team waliona inafaa kuwa PhD.

Mimi nikisoma post ya mtu lazima niangalie Avatar na Signature yake. Hapo napata mengi kama ya kwako.

acha tabia ya kushambulia mtu pinga hoja kwa hoja la sivyo na wewe utakua kama ndezi anaeficha kichwa chini na kuacha mwili nje akijua kajificha haonekani.
 
acha tabia ya kushambulia mtu pinga hoja kwa hoja la sivyo na wewe utakua kama ndezi anaeficha kichwa chini na kuacha mwili nje akijua kajificha haonekani.

Wewe nyumbu kweli. Kumbe hapo nilikuwa nafanya nini kama si kupinga hoja zake?

Unaonyesha huna upeo wa kuelewa maada hii na wala sikulaumu hata kidogo na hilo nimelisema mapema.

Unafikiri impact factor ni jina la mtaa? Wildbeast!
 
Nzi

unapoteza muda wako

article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?

unafahamu journals ngapi dunia hii?

unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu

suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa

Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU

Sio kila uzi lazima uchangie.....na kwa taarifa yako UD haujaenda peke yako, wababaishaji wapo wengi tu.

Huu ni uchambuzi unaotaka kukufikirisha tu, kama huwezi kaa kimya kuliko kujishushia heshima kwa kuchangia utoto katika mambo sensitive, INZI maana yAke ni nini sasa?
 
Kwanza ulizeni Ud alifikaje inawezekana nsiumize vichwa xana.

Aliulizwa amechukua kadi ya ccm lini! Kimyaaaaa eti mbobezi ktk sheria.

Anyway nadhani kuna vigezo tofauti vile vya Chama(ccm),Kisheria na kimataifa.so wanaomwita mbobezi wanmtafutia soko msiwaneze labda ni kwa vigezo vya chama.
 
Nzi

unapoteza muda wako

article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?

unafahamu journals ngapi dunia hii?

unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu

suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa

Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU
Wabeloya wewe ndio unaonesha kiwango cha upunguani. Hii ni observation nzuri ya kupima ubobezi wa mtu. Mwanasheria aliyebobea au msomi aliyebobea anapimwa kwa articles na journal s zilizokua published. Usipponde usichokijua. Usiwe na akili za Nyumbu. Jiulize kubobea kunabeba uzito gani kwa msomi hadi gazeti la serikali limnadi kwamba amebobea? Bado anasafari ndefu, journals na articles zake hazitoshi kuzizima na hizo sifa anazopewa. Kina Shivji tutawaitaje sasa?
 
Wewe nyumbu kweli. Kumbe hapo nilikuwa nafanya nini kama si kupinga hoja zake?

Unaonyesha huna upeo wa kuelewa maada hii na wala sikulaumu hata kidogo na hilo nimelisema mapema.

Unafikiri impact factor ni jina la mtaa? Wildbeast!

nilishajua huwezi kujibu utaishia tu kutukana mwenzako amedadavua tena kwa ushahidi mwisho akauliza swali wala hajatukana wewe unakurupuka ushahidi huna swali huwezi kujibu unaishia tu kutukana ujidhihirisha akili yako ilivyo fupi kama mavi ya asubuhi wakati mwingine ni bora tu kusoma ukapata elimu kuliko kukurupuka fungo.
 
Nzi Uzi wako uko vizuri nilikua nafikiri ka wewe huo ufafanuzi ndo umenifanya nijue yukoje hasa hizo articles zake. Kama zimesomwa na mtu mmoja nilijua anazo journal nyingi alizoziandika
 
Last edited by a moderator:
mkuu umekunywa viroba vingapi.....

Back
Top Bottom