Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,573
- 4,850
Nzi umenena vyema wabongo tuna Tania ya kuvishana vilemba vya ukoka
Ndiyo hapo sasa. Mbobezi wa taaluma ya sheria, aliyepata shahada yake ya uzamivu mwaka 2007, lakini kwa miaka hii 8, kanukuliwa mara 1 tu, tena na mtanzania.
Kuna msemo kwamba uwongo ukizungumzwa sana bila kupingwa uonekana ukweli. Sasa nimeamua 'kupinga' taswira ya ubobezi wa sheria ambayo Tulia anavikwa na watu wa CCM, katika kumwonyesha ni wa kipekee sana hapa nchini katika fani ya sheria.
mipasho.
Sidhani kama nzi anataka kumdiss mtu, ametoa uchambuzi wake mzuri juu ya "ubobezi" wa bi.tulia.
Yeye hapo ndipo alipojikita. Mkuu kwa namna ulivyojibu na kama unafundisha ud basi tuna msiba mkubwa.
Yes,
Ile ya mita 200
Yes,
Ile ya mita 200
Nzi
unapoteza muda wako
article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?
unafahamu journals ngapi dunia hii?
unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu
suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa
Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU
Mkuu tumbiri Mungu akulinde sana .Nzi, kilichopo kuhusu huyo dada ni ushobokaji tu.
Binafsi sioni chochote alichonacho ambacho ni 'exceptional'.
Lakini kibongo bongo watu wanavyouhusudu udokta basi naelewa ni kwa nini watu wanashoboka kiasi hicho.
Jana nilivyomsikia akiongea na nikilinganisha na kelele zilizokuwa zinamzunguka, sielewi kabisa.
Communications skills zake bure kabisa. The girl can't talk.
Hiyo nafasi ya unaibu hajaipata kwa merit.
Kabebwa tu na siasa na wanasiasa.
Nzi
unapoteza muda wako
article ndeefu kisa unataka kum dis mtu?
unafahamu journals ngapi dunia hii?
unafikiri waalimu wa UDSM ni vilaza? ulizia mkuu
suppose sio au hana elimu au hana ubobezi, unachotaka kusema nini hasa
Ni naibu spika, wewe haujawa, ni PhD holder wewe hauna,ni notable figure wewe ni NZI TU
Hivi ile ilikuwa kesi? Sio walikuwa wanataka tafsiri ya mahakama kuhusu mita 200?
Nzi, kilichopo kuhusu huyo dada ni ushobokaji tu.

Kwa Tanzania ukiwa na PhD tu wewe ni mbobezi.
Hakuna kesi aliyowahi kushindwa sio Kushinda. Kesi ya Mita mia mbili muulize hukumu kibatala. Leo Tundu lissu alipapatika kuhusu ujio wa Dr.Shein kapigwa vifungu akaamua kukusanya Mifugo ya Fisadi akaitoa nje ya Bunge
Mtu mwenye PhD sio mbobevu ila ameonesha nia ya kuja kubobea. Wabobevu ni mafull professor waliotoa inaugural lecture. Kama akina Shivji kwenye Sheria, akina Mbwette kwenye Maji, akina Mwandosya kwenye electoniki n.k.