uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,424
- 1,966
Mkuu umesahau kanuni ya binadamu wote ni sawaBadala ya watu kuchukua tahadhari, wanajifananisha na Marekani> Ujinga ndiyo utakao tuua zaidi, wengi ya watu hapa ni psychotics wanao lazimisha uongo kuwa kweli na ukweli kuwa uongo, cha zaidi hawajui what is right what is wrong. Marekani ilidharau ugonjwa huu na kujifunza kwa vifo, UK na Brazil pia, ila wajinga huku kwetu hawawezi kujifunza hayo na psychotically wanafikiri wako salama na hawawezi kuipata na serikali yetu ipo sahihi. Time will tell. Cha upumbavu zaidi wanafikiri eti korona ikiisha Ulaya na MArekani itaisha kwetu automatically, hawajui maambukizi yapo ila ni slower than in other countries.
ni kuwa wote huzaliwa bila nguo na wote hufa,Sasa kwenye janga hili la korona
hakuna mbabe,wamarekani inawaua na waafrika inawaua.
Hapa inashangaza mmojawapo anapotaka kujifanya kiranja wakati anapitia humo humo tunakopitia.