Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.

Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba kwa ajili ya kupambana na #COVID19. Serikali ya Tanzania imezuia safari zote za abiria tangu Aprili 11, hivyo ubalozi umewataka raia wake kubaki ndani ili kujikinga na #CoronaVirus

View attachment 1448823
Leo 2-6-2020 ubalozi huo wa MAREKANI kwanza wamelaani kifo cha Floyd then WAmetoa tahadhari kwa raia wao na wamesema kwamba Corona ipo Bongo na waendelee kurudi kwao Marekani
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom