Ubabe huu wa TEC

Ubabe huu wa TEC

Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti

Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto

Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Kumbe ni mkatoliki?!
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Tz tumekuwa na vita vya wenyewe?
 
Hii kitaalamu inatiwa, GOMA NA HUKU TUONE
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Hilo lilishafafanuliwa sana kisomi hapa Jf na hiyo point yako siyo mantiki wala muktadha wa waraka wa Teki.

Pimeni upepo kuona waTz walio wengi wanasemaje kuhusiana na hilo saga?

Kuendelea kushupaza shingo kuutetea mkataba, watu wenye kuevaluate mambo watakushangaa na kukuona una jambo ama hoja iliyo nyuma ya pazia.
 
Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti

Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto

Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Hajaitwa kama kiongozi .. amehudhuria IBADA kama muumini.., nakala kapewa kama muumini,!!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Nguruwe akishiba kazi yake kuachia ushuzi !! Hongereni wagawa makombo !!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
....Mama Samia Pole. Kwa ukishindwa Kuwathibiti Wapigaji ndio Umeamua ndugu zako Waendeshe Bandari ZETU Milele ?? [emoji35]
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Yani hii inaitwa fear of the unknown, hayo mambo ya siri umeyajuaje boss? acheni kujudge kwa imaginations, hiyo ni kazi ya kishetani kufanya false accusation, misdirected anger.
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.

Chawa hawajawahi kuwa na akili kabisa,Samia Mwenyewe anawajua TEC vizuri na anawaheshimu we kaa kwa kutulia bro.TEC sio omba omba wala wapiga dili.Hawajaanza kwenye hili Labda Ulikua mgeni kwao.
 
Back
Top Bottom