Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 369,572
- 855,242
Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?