FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,800
Siyo wakusanya kodi bali ni wezi wa kodi na watoza 10% kwa wanaowalinda kimafia.Wao siyo Wakusanya kodi wala waingie mikataba .Ndiyo maana wanaionya serikali kuwa manaendelea kuifanya Nchi kuwa maskini.
Chakula tuandae sisi halafu tuseme chakula hiki hatuwezi kukila tuwite Watu wengine waje kula. Tumeboresha bandari vizuri sana badala kutafuta Mfanyakazi bora toka duniani kwakuwa wetu mnaona siyo Waaminifu mnaamua kumleta Mtu wa kuturudisha utumwani.
Kumbuka kanisa Linajenga Shule,Vyuo na Hospital na kila Eneo ambalo Mkatoliki kaweka mizizi huduma za Elimu na Afya ipo safi.
Sasa jiulize tu Kwanini Makusanya kodi muingia Mikataba bado anaendelea kufanya Nchi kuwa Maskini.
Hivi unafikiri hatuelewi mambo yanavyokwenda?