Ubabe huu wa TEC

Ubabe huu wa TEC

Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.

Mara Vatkan Mara Ufaransa,Tuelewe nini, naamini hata kwenu mshawahi panda gari imeandikwa MIVA
 
Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti

Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto

Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Alivyokaa kwa unyenyekevu,kama mtu vile!
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Lifutieni usajili, mnasubiri nini ?
 
Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti

Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto

Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Hivi hii picha alipigwa akisikiliza waraka?
 
Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Jidanganye hivyo hivyo.
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Kwani misamaha si ipo kisheria ?
 
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Tupe uthibitisho usio na shaka
 
Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Mwamba unajidanganya sana.
Hospital ni zao, Shule Bora ni Zao, Vyuo Bora ni vyao , Watu bora na Wanaofikiri vema ni wao.

Ukitaka kujua hao ni bora hata hao Marais Wakifika baadhi ya Wilaya hulala kwao hula kwao.

Mabadiliko ya sheria inayohusu mali asili za Taifa yamekataliwa kabisa na bunge limetii maelekezo ya TEC . Ebu fikiri tu Watu wenye PHD tena za Sheria na falisafa wamekaa na kutafakari vema uje kushindanisha na wenye certificate za kuunga unga na Wasomi wachache sana Bungeni .

Amka wewe Mbogo Prof Shivji Hana Chama wala si Mwanasiasa naye kakosoa huo Mkataba, Ebu angalia hao Kitenge,Mwijaku na Baba levo kisha angalia upeo wao wa kufikiri fananisha na Taasisi yenye Bongo Moto vile.

Kanisa katoliki ilijimilikisha Watu wenye Upeo Mkubwa wa kufikiri weka mbali na Taasisi zingine .ukimuona Askofu wa kanisa katoliki jua ni PHD ya kusomea siyo ile ya kupewa kwasababu ya Rushwa au Propaganda za kisiasa.
 
Wangekuwa "wanafikiri vyema" Tanzania isingekuwa masikini wakati watawala ni wao, toka tupate uhuru kila sehemu wamejiweka wao.

Wizi tu ndiyo wanaujuwa "vyema".
 
Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti

Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto

Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Tatizo liko wapi?
Mwenye madsraka ya mwisho na muajiri mkuu ni mwananchi.
 
Wangekuwa "wanafikiri vyema" Tanzania isingekuwa masikini wakati watawala ni wao, toka tupate uhuru kila sehemu wamejiweka wao.

Wizi tu ndiyo wanaujuwa "vyema".
Wao siyo Wakusanya kodi wala waingie mikataba .Ndiyo maana wanaionya serikali kuwa manaendelea kuifanya Nchi kuwa maskini.

Chakula tuandae sisi halafu tuseme chakula hiki hatuwezi kukila tuwite Watu wengine waje kula. Tumeboresha bandari vizuri sana badala kutafuta Mfanyakazi bora toka duniani kwakuwa wetu mnaona siyo Waaminifu mnaamua kumleta Mtu wa kuturudisha utumwani.

Kumbuka kanisa Linajenga Shule,Vyuo na Hospital na kila Eneo ambalo Mkatoliki kaweka mizizi huduma za Elimu na Afya ipo safi.

Sasa jiulize tu Kwanini Makusanya kodi muingia Mikataba bado anaendelea kufanya Nchi kuwa Maskini.
 
Back
Top Bottom