unakuja utawala wa waarabu siyoHakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa, jana Spika Tulia kwatuliza utamu kweli.Imeshaingia sumu
unakuja utawala wa waarabu siyo
Hawa TEC inabidi ujilazimishe kuwakubali bibi, hawa wanakuongoza kinamna hata kama huwapendi, niamini.Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa, jana Spika Tulia kwatuliza utamu kweli.
Kawaambia kwa sasa hakuna mjadala wa IGA ilishatoka hiyo, sasa sibirini utekeleza wa uendeshaji bandari ndiyo mje kujadili uendeshaji.
Hiyo inaitwa Tulia ball.
Sio kwa typing error nyingi kiasi hiki... Unatumia simu gani? Au mikono inatetema? Au miwani ime expire? Pitisha bakuli tukuchangie hatuna hiyana! Mimi naanza nitatoa £50Umechelewa jamvini karamau imeshaliwa, jana Spika Tulia kwatuliza utamu kweli.
Kawaambia kwa sasa hakuna mjadala wa IGA ilishatoka hiyo, sasa sibirini utekeleza wa uendeshaji bandari ndiyo mje kujadili uendeshaji.
Hiyo inaitwa Tulia ball.
Chuki za udini zimemjaa kupita kiasiSio kwa typing error nyingi kiasi hiki... Unatumia simu gani? Au mikono inatetema? Au miwani ime expire? Pitisha bakuli tukuchangie hatuna hiyana! Mimi naanza nitatoa £50
Utawasikia watu wa munyaazi mungu "Mwanamke wa kiislamu ni kufuru kushikwa mkono na mwanaume asiye mume wake"
aha hah a huyo bibi hatari. Yupo JF 24/7Sio kwa typing error nyingi kiasi hiki... Unatumia simu gani? Au mikono inatetema? Au miwani ime expire? Pitisha bakuli tukuchangie hatuna hiyana! Mimi naanza nitatoa £50
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Utawasikia watu wa munyaazi mungu "Mwanamke wa kiislamu ni kufuru kushikwa mkono na mwanaume asiye mume wake"
Wanakuwaje sawa ikiwa wa nyuma yake wamejazana kwenye benchi lkn huyo mh. amejivinjar benchi zima peke yakeIbadani waumini wote ni sawa
DuhTech ni mmbwa kama mbbbwa wengine tuh
Nani anahitaji waraka!?..tuna bunge na mahakama,wao waandaea divai na mikate ya kutosha kwa ajili ya waamini wao
Una chuki na wavatikano sanaHakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Tumetikisika au tumewaonesha kwamba si loloteNdo washautoa waraka na mmetikisika wote chali
Out of the Top: Thread zenu zimekula vichwa vya watu.Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127