Ubabe huu wa TEC

Ubabe huu wa TEC

Kametulia kama kamtu ka maana kumbe ni kashetani kabisa na sura yake ile mbovu kama choo cha stesheni 😡😡😡
usitukane Mungu alicho umba - matusi yanaonyesha unataka kulazimisha msimamo wako.
 
Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti

Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto

Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Utakuja kuelewa DP WORLD wakishaanza kazi yao. Kuna baadhi ya Watanzania hawajui kinachoendelea Loliondo. Inauma sana
 
Back
Top Bottom