Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Ulaya na marekani na japan kuna demokrasia na hamna umasikini
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana.
 
Kwani kwenye biblia wameandikaje baada ya Nuhu kulewa pale. Hapa ndo asili ya mwafrika ilipotokea
 
Nchi ulizotaja nimezitembelea na zingine nimeishi kabisa. Saudi Arabia unajua mtiti na purukushani za upinzani katika maeneo kama Qatif? Bahrain bila kuenda mbali. Manama mpaka leo upinzani ni moto wa kuotea mbali, Qatar na UAE wanafanya mambo katika mtindo wa people centered na haki sawa kwa wote ndio maana husikii chochote.

Sheikh Khalifa aliekuwa mfalme wa Bahrain ailiuwa watu wengi sana waliokuwa wanataka usawa
Saudia ukileta za kuleta unashulikiwa haswa
Hao wengine kidogo afadhali
Kweli maisha yapo ila usijiingize kwenye siasa za kupinga
Huko kote nimepita na zingine kufanya kazi mda mwingi
 
Saudia hawachekeani. Ukizingua unakula shaba
 
Back
Top Bottom