Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Tatizo sio democracy tatizo ni viongozi wetu hawana dini , hawana hofu ya mungu ambayo inapelekea kutumia Mali za umma vibaya bila woga wowote , hao uliowataja hapo wanahofu ya mungu na wanatumia vizuri rasilimali waliojaliwa na mungu kwa manufaa ya Nchi zao
 
  • Thanks
Reactions: AHA
Juzi juzi wanawake wa Saudia kwa Kashogi ndo wamepata ruhusa kuendesha magari. Ni afadhali umasikini ukiwa huru kuliko kuwa na mali ila mtumwa wa fikra.
Ilan pia mwaka jana ndo wanawake wameruhisiwa kwenda uwanjan kuangalia mpira
 
Waarabu matajir Duniani wana-import almost kila kitu. Sisi tuna kila kitu bado Maskini na ruzuku kina Ufipa wanafyonza tu
 
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Pamoja na hayo yote kwani hixo nchi za uarabuni zina utajiri kama wa nchi za magharibi. Duniani nchi za magharibi ambazo zina democrasia ndio nchi tajiri zaidi Dunia. Ingawaje hixo nchi nyingi za kifalme za uarabuni zinalindwa na magharibi. Halafu hizo nchi zinategemea kuuza mafuta kwahio mafuta yanaeaweka mjini ingawaje pia miaka ijayo mafuta inawezekana yasiwe na thamani tena kwasababu nchi nyingi zilizoendelea zitaanza matumizi ya magari ya umeme
 
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana

OMAN [emoji1190] hii ninayo ijua au yakwako Syria [emoji1238] Yemen [emoji1267] jordan [emoji1137] Iran [emoji1130] Pakistan [emoji1191] na nyingine nyingi sana
 
Demokrasia ipo katika nchi hizo
Bila shaka hujui maana ya demokrasia
 
OMAN [emoji1190] hii ninayo ijua au yakwako Syria [emoji1238] Yemen [emoji1267] jordan [emoji1137] Iran [emoji1130] Pakistan [emoji1191] na nyingine nyingi sana
Hujafika Oman wewe. Labda umeishia Kimboka
 
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Mbona tanzania tangu 1965- 1992 hakukuwa na demokrasia lakini bado nchi ilikuwa ni masikini sana,

2015- 2020 hakuna demokrasia, ndo muda tunashuhudia 80% ya watz wanakula mlo mmoja kwa siku
 
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Umeharibu hoja hapo kwenye kupinga tu... JE WANAOSIFU TU..!!??
 
Back
Top Bottom