Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Marekani nchi tajiri wananchi wengi masikini wana lala barabarani nchi za uarabuni kama UAE SAUDIA KUWAIT OMAN QATAR nchi hizi huwezi kukumkuta mwananchi maskini au kalala nje
Hivi unajua kwamba kwa sheria za marekani zilivo mtu ukifanya offence mara kadhaa unakuwa banned kuajiriwa popote pale nchini marekani... sasa wengi ndio hao unaowaona barabarani...
 
Hizi nchi za kiarabu wapo mbali sana kimaisha ndio maana mmarekani anawaonea wivu na kutaka mali zao haishi kuwachonganisha na kuwaletea vita isiokuwa na sababu . utaliikama watalii wakiarabu moja tu anaekuja ngorongoro sawa na watalii wa kimarekani kumi kwa matumizi. Mmarekani ananunua soda moja wanagawana 3 mmarekani wanachanga kwa pamoja watu kumi wanachukua gari kuwatembeza mbuga za wanyama mwarabu anachukua pekee yake nenda kaulize huko serengeti na manyara utaambiwa
Utajiri wa mwarabu ni kutokana na mafuta ambayo hajatumia akili yake kuyapata, ndio maana mwarabu kutumia pesa kwake siyo shida kwa sababu ni easy money. Pamoja na hayo utajiri wa mwarabu mara nyingi hushikiliwa na familia chache hivyo kufanya wengi kuishi kwa huruma ya wachache. Waarab wetu huku ndio walikuwa mabingwa wa uwindaji haram
 
Nigeria ana mafuta ila Ukifika Lagos utadhan hawana mafuta. Umeme wa kupima, barabara mbovu na rushwa kama yote
 
Tatizo huwa mnaangalia kwenye tv nenda kajionee umasikini uarabuni
 
Mleta uzi umezunguka weeee ila unachotaka ni kuitetea serikali ya awamu ya x kuwa Udikteta ni kitu poa sababu nchi zinazoongozwa kibabe zina maendeleo
 
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana

Wapinzani wameanza kuwepo mwaka gani ? Usisahau historia ya msingi
 
Kwa hiyo unataka kusema nini?ya kwamba utawala wa kimabavu ndio unaleta maendeleo?
Mbona africa imejaa umasikini wa kutisha wakati ndio sehemu iliyo jaa udkiteta?kuliko eneo lolote duniani?
Sasa nyingine ukitaka kuongea kitu jifikirie kwanza.
Mnabishana bure. Demokrasia bila kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi ni kazi bure. Na udikteta bila kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi ni bure. Na udiktekta ukienda pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi unaleta maendeleo. Na demokrasia ikienda pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kuacha ufisadi inaleta maendeleo. Kitu common kwenye hali zote maisha ni kufanya kazi kwa bidii.
 
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Wapo Masikini tena Ombaomba kabisa kwenye hizo Nchi ulizotaja.
 
Back
Top Bottom