Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
- Thread starter
- #41
Asalam Aleikum
Umemaanisha zaidi ya hilo..Asalam Aleikum
Wasomali wanahesabika kwenye Arab world.Amesema Uarabuni, soma kichwa cha habari, isitoshe Wasomali siyo Waarabu!
kwani Afrika ya Kaskazini ni waarabu!?.Amesema Uarabuni, soma kichwa cha habari, isitoshe Wasomali siyo Waarabu!
Hata ulaya waliruhusu demokrasia baada ya Maendeleo kuingia
Demo-crazy
Nimetembea na kuishi nchi kadhaa za Qatar, UAE, Oman, Saudi Arabia na Bahrain sikuwahi kuona wazawa maskini pia hakuna NGO's kama Afrika pia hakuna kinachoitwa "Demokrasia". Afrika 24/7 kiongozi wa chama cha upinzani ni kupinga tu. Ila huyo kiongozi analipwa posho za ubunge kwa kodi za wananchi. Inasikitisha sana
Mboe achia chama
Ukitaka kuona faida za demokrasia nenda Libya, Iraq na Afghanistan. Ile ndio demokrasia waliyozawadiwa na marekani.
Siyo Uarabuni kote, Yemeni, Lebanon, hata Afrika ya Kaskazini kuna Waarabu pia na masikini sana tu.
Nenda kaishi huko.
Kichwa cha habari amesema Arabuni
Pia marekani ni nchi maskini sana sababu kuna demokrasia. Wewe ni idiot
Kuwa na akili na wewe .amesema nchi za uarabuni hakuishia hapo kazianisha au kazitaja nchi ambazo hazina demokrasi katika nchi za uarabuni kama oman uae saudia kuwait qatar na wanaishi kwa raha sio masikini sasa kuna nchi za uarabuni zenye democrasia wao ni maskini