mwallu,,Utaigiza kama sister (mtawa) anayeshinda vishawishi na mitengo yote ya wazee wa kanisa(walei) na paroko hasiye na maadili!Mie nitaigiza kama nani?
tena unatafaa sana.
mwallu,,Utaigiza kama sister (mtawa) anayeshinda vishawishi na mitengo yote ya wazee wa kanisa(walei) na paroko hasiye na maadili![/QUOTE
Mhh ningependa kumfahamu huyo paroko!
Atakaposhiriki Heaven on Earth namm nimo.
Duh! Nahsi nazeeka sasa.
Hivi hawa wote wapo Dar?
Matola nakuunga mkono,,nashukuru pia laazizi wangu Bantu lady hajashirikishwa bila ridhaa yangu!!Kwenye maigizo huko,hawachelewi kuigiza kibaba na mama!!
All in all ladyfurahia big up!!
Hahaaa umenchekesha shem eti "kibaba na mama" umenkumbusha enzi zileee....
Kwa sasa au?
niambie mupenzi
hilo somo refu nifanyie summarization
mwallu,,Utaigiza kama sister (mtawa) anayeshinda vishawishi na mitengo yote ya wazee wa kanisa(walei) na paroko hasiye na maadili![/QUOTE
Mhh ningependa kumfahamu huyo paroko!
Hahaaaaaa,,mwenyewe anamju,muulize!Hahaaaa,,Si ni maigizo jamani
Matola nakuunga mkono,,nashukuru pia laazizi wangu Bantu lady hajashirikishwa bila ridhaa yangu!!Kwenye maigizo huko,hawachelewi kuigiza kibaba na mama!!
All in all ladyfurahia big up!!
Shem Valentina kila siku hapa tunaona picha kwenye magazeti watu wamekutwa gesti alafu baadaye wanasema eti walikuwa wanaigiza(wanafanya shooting),,mmh pressure hiyo sitaki
Sisi tunapewa sehem ya kupigana mabusu