Tumeshakaa katika kamati yetu na tumependekeza title iwe hii: fumbo katika maisha
bestito waionaje hii
kha!
huo utukutu mbona sina mie?
lakini nikifundishwa utukutu pengine naweza ku-fit hasa utukutu ukijumlisha utoro maana mie mzurulaji sana kiasi kwamba mtandaoni naja mara chache chache
Lazma nkulenge
kwi kwi kwi kwi navyojua kukwepa sidhani kama itanipata
Dadito tumekaa kamati yetu ya JFTEAM RAFIKI tumebadili title itakuwa hii : FUMBO KATIKA MAISHA YA JF
Je utaweza kuvuka mto?ndiyo title?
mmmmmmh hem kaeni tena kama kamati
Teh Teh Teh Teh
Hii kitu mbona iko pouwa sn!!!!
ladyfurahia ulikua wapi kuleta hili wazo?
Yani ktk hizo MNAITA SCRIPT MSISAHAU KUANDAA YA MIMI NA Mr Rocky Na Yule binti machachali sn miss chagga
Ila sijaona umemtaja Khantwe wangu jamani!
Pamoja sn ladyfurahia
Hivi wewe upo sawa????
usiniambie hata tized mtu nayemuaminia anaweza akawa ameshiriki kwenye hii title.
Halafu kwa ladyfurahia hakishindikani kitu kwake alituletea gospel competition eti ifnyike leo tupo hapa.
Washiriki mtambuzi kakakiiza kipaji halisi paloma madame b khaaaa.
Jamani and she was very serious.
You can imagine odo.
Tumeshakaa katika kamati yetu na tumependekeza title iwe hii: fumbo katika maisha
bestito waionaje hii
Nilidhani mimi pekee ndo sijaelewa.
cousin mwambie Mndengereko
mnipangie sehemu yenye kula kula
na kunywa,nitaitendea haki hyo script walah
navyopenda kula haaa!!
nilidhani mimi pekee ndo sijaelewa.
hata hili halipo kisanaa hata kidogo....
lini inaanza hii kitu?