Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
NEWS ALERT: UANZISHWAJI WA TAMTHILIYA ISIYO NA KIKOMO YA JF


SISI WANA KIKUNDI CHA TEAMRAFIKI TUMEAMUA KUANZISHA JAMBO HILI ILI KULETA UPENDANO, UNDUGU NA AMANI KWA WADAU WOTE HAPA MJENGONI HIVYO :

Wadau rejeeni hapo kwenye uzi juu unasema kuwa Tamthilia ya ghafla inakuja hivi karibuni
Hivyo jiandaaeni mkao wa kuigiza nafasi zenu ambazo mtapangiwa katika nafasi.

Tamthilia ni nini? Tamthilia ni utanzu ambao hutegemea mazungumzo na uigizaji ili kuwasilisha ujumbe wake.

MALENGO YA TAMTHILIYA HII
:

a) Lengo la Igizo hili ni kuinua vipaji ambavyo tumeviona humu mjengoni ambavyo kwa hapo baadaye vitakuja kuleta matunda si kwa wao binafsi bali kwa jamii nzima

b) Tutagusia pande zote kama vile: kimapenzi, kielimu, kisiasa, kiitikadi nia, kimatibabu na mengine mengi zaidi yahusuyo maisha ya mwafrika zaidi

c)Tutakuwa na vifaa ambavyo washiriki wote watatakiwa kuvitumia.

WASHIRIKI WANATAKIWA WAWEJE:

1. Mshiriki lazima awe mwenye akili timamu na mwenye mvuto wa kipekee
2. Awe na nia na kipaji hailisia ambacho hata watazamaji au wachangiaji watavutika kwake
3. Awe na lugha laini na nzuri pindi anapoigiza na aoneshe mwonekano wa kuigiza sio kusimama au kuganda tu.
4. Awe mtu anayeweza kukariri SCRIPT ambazo atapewa na viongozi kwa umakini sana.
5. Awe na hamu, nia ya kujifunza pale anapoelekezwa jambo au kitu au maneno fulani.
6. Awe mtu anayewajibika, mwenye kujituma na mchangamfu sio zembe nono.
7. Awe makiini katika nafasi yake na aweze kuitendea haki na asiwe mtu mkorofi,/mchokozi, au MLAFI.

kWANINI TUMEAMUA KUFANYA HIVI SISI WANA TEAMRAFIKI?

Ni kujenga upendano, na undugu zaidi tutapokea michango, maoni, na mtazamo yakinifu toka kwenu ambao utatufanya member wote washiriki pasipo upendeleo na vile, itakayowashirikisha wadau wote wa UKAWA, CC, MMU,
SHERIA, MACHAPTA MAPHOTO, MADOCTA, na sehemu mbalimbali za dunia ya jf

Mwenyekiti wa TEAMRAFIKI : Mndengereko ataleta kwenu SCRIPT za maigiizo hayo nanyi mtaanza kufanyia kazi.

Katibu ladyfurahia : mm nitashughulika na mambo ya urembo, upambaji wa sehemu ambazo tutafanyia igizo hilo
pamoja na maakuli kwa ujumla

Mweka hazina: Tized : yeye atakuwa akiwaongoza washiriki (director wa film)

MAPENDEKEZO:

WALIOPENDEKEZWA KUCHEZA KWA ROUND YA KWANZA:
Mtambuzi, Mamndenyi, utafiti, MziziMkavu, Arushaone, mwallu, @C6, Passion Lady, kiwatengu, mwekundu, Tized, Mr. rocky, Kipaji Halisi, Nivea, Kongosho, Ntuzu, Lady doctor, snowhite, Asprin, (nadhani huyu asprin atakuwa main character), mwaJ, Zion Daughter, Mentor, C.T.U, Nyani Ngabu, Ladymasa


ANGALIZO: PLS UKIPATA TAARIFA HII MUJULISHE NA MWENZAKO ASIYEFAHAMU.

UPDATES: Tumeshaanza kuandika script na kuwapanga watu ambao watacheza kwenye tamthiliya hii hivyo kaeni mkao wa kuanza rasmi hii kitu kwani muda si mrefu itaanza

Wasalaamu;

Ladyf
 
Ohoooo ni news alert nimekosea kutype my dia

mkeo yuko round ya 2 subiri inakuja
sasa hii ni breaking newz au news alerts? By the nashukuru my lara 1 hajajumuishwa humo bila kibali changu.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Mbona mmechaguana, au na hapa mpaka tutoe kitu kidogo ili mtuchague na sisi...
 
Baada ya utafiti wa muda mrefu na kugundua JF acting ni nyingi sana nafikiri ni uamuzi mzuri kuanzisha hio tamthilia kwani JF especially MMU kila siku kuna vi-episode vya tamthilia tamu sana....hongera #TEAMRAFIKI
 
ladyfurahia nafikiri ntapangiwa nafasi ya vasco dagama maana ili kila mara niwe safarini maana siku hizi siingii sana JF.
 
Last edited by a moderator:


MAPENDEKEZO:

WALIOPENDEKEZWA KUCHEZA KWA ROUND YA KWANZA:
Mtambuzi, Mamndenyi, utafiti, MziziMkavu, Arushaone, mwallu, @C6, Passion Lady, kiwatengu, mwekundu, Tized, Mr. rocky, Kipaji Halisi, Nivea, Kongosho, Ntuzu, Lady doctor, snowhite, Asprin, (nadhani huyu asprin atakuwa main character), mwaJ, Zion Daughter, Mentor, C.T.U, Nyani Ngabu, Ladymasa

N.B: VUTENI SUBIRA KWANI IKO MBIONI KUANZA NA WASHIRIKI WOTE WANATAKIWA WAJE KATIKA JUMBA LA KUONYESHEA MAIGIZO HAYO PALE LTHP KISIWANI M/NYAMALA
SIKU YA JMOSI BILA KUKOSA

Hivi hawa wote wapo Dar?
 
Mimi na ICHANA tutaigizia chumbani ,pitishia script chini ya mlango hapo tumelala huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom