Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

Matola nakuunga mkono,,nashukuru pia laazizi wangu Bantu lady hajashirikishwa bila ridhaa yangu!!Kwenye maigizo huko,hawachelewi kuigiza kibaba na mama!!

All in all ladyfurahia big up!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa umenchekesha shem eti "kibaba na mama" umenkumbusha enzi zileee....

Shem Valentina kila siku hapa tunaona picha kwenye magazeti watu wamekutwa gesti alafu baadaye wanasema eti walikuwa wanaigiza(wanafanya shooting),,mmh pressure hiyo sitaki
 
Last edited by a moderator:
Matola nakuunga mkono,,nashukuru pia laazizi wangu Bantu lady hajashirikishwa bila ridhaa yangu!!Kwenye maigizo huko,hawachelewi kuigiza kibaba na mama!!

All in all ladyfurahia big up!!

ngashtuka eheeh? watu wako very strategic namuamini my Lara 1 lakini mpaka nione huo ulazima halafu nilidhani ni tamthilia kupitia keyboard tu kumbe mpaka jumba la big brother lipo mwananyamala?

hapana nei nei nei ngashtuka kibali refusal.
 
Last edited by a moderator:
Shem Valentina kila siku hapa tunaona picha kwenye magazeti watu wamekutwa gesti alafu baadaye wanasema eti walikuwa wanaigiza(wanafanya shooting),,mmh pressure hiyo sitaki

Mmh kweli shem,abiria chunga mzigo wako.....fikisha salam zangu kwa bi shost
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom