Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

kubebeshana watoto kivipi????kwani sisi bongo movie????kama unajijua wewe ni mdhaifu sana basi iache nyumbani machine wala usije nayo kambini.

Nani kasema mwanajesh anaacha silaha home
 
Mi rezevu....niigize kama house girl mama mwenye nyumba asafiri niibe mumee...
 
mimi KINDONDINDO ntaigiza jambazi maana body inaruhusu kupigana najua kutumia silaha yoyote ile nakukimbia najua!
 
mi secretary cjui wa pair gan... (atanipa director) mana ziko nyingi kwel humuuu..nawachora tu wake wanaojifanya wanalinda wame zao.. afu kuna scarcity ya masecretary so ntafunction multiple..
 
Weka story.
Fanya casting
Script na plot tutamaliza wenyewe!
Humu humu lakini,hayo ya mwananyamala wachana nayo!
I'm IN!
 
BREAKING NEWS: UANZISHWAJI WA TAMTHILIYA ISIYO NA KIKOMO YA JF


SISI WANA KIKUNDI CHA TEAMRAFIKI TUMEAMUA KUANZISHA JAMBO HILI ILI KULETA UPENDANO, UNDUGU NA AMANI KWA WADAU WOTE HAPA MJENGONI HIVYO :

Wadau rejeeni hapo kwenye uzi juu unasema kuwa Tamthilia ya ghafla inakuja hivi karibuni
Hivyo jiandaaeni mkao wa kuigiza nafasi zenu ambazo mtapangiwa katika nafasi.

Tamthilia ni nini? Tamthilia ni utanzu ambao hutegemea mazungumzo na uigizaji ili kuwasilisha ujumbe wake.

MALENGO YA TAMTHILIYA HII
:

a) Lengo la Igizo hili ni kuinua vipaji ambavyo tumeviona humu mjengoni ambavyo kwa hapo baadaye vitakuja kuleta matunda si kwa wao binafsi bali kwa jamii nzima

b) Tutagusia pande zote kama vile: kimapenzi, kielimu, kisiasa, kiitikadi nia, kimatibabu na mengine mengi zaidi yahusuyo maisha ya mwafrika zaidi

c)Tutakuwa na vifaa ambavyo washiriki wote watatakiwa kuvitumia.

WASHIRIKI WANATAKIWA WAWEJE:

1. Mshiriki lazima awe mwenye akili timamu na mwenye mvuto wa kipekee
2. Awe na nia na kipaji hailisia ambacho hata watazamaji au wachangiaji watavutika kwake
3. Awe na lugha laini na nzuri pindi anapoigiza na aoneshe mwonekano wa kuigiza sio kusimama au kuganda tu.
4. Awe mtu anayeweza kukariri SCRIPT ambazo atapewa na viongozi kwa umakini sana.
5. Awe na hamu, nia ya kujifunza pale anapoelekezwa jambo au kitu au maneno fulani.
6. Awe mtu anayewajibika, mwenye kujituma na mchangamfu sio zembe nono.
7. Awe makiini katika nafasi yake na aweze kuitendea haki na asiwe mtu mkorofi,/mchokozi, au MLAFI.

kWANINI TUMEAMUA KUFANYA HIVI SISI WANA TEAMRAFIKI?

Ni kujenga upendano, na undugu zaidi tutapokea michango, maoni, na mtazamo yakinifu toka kwenu ambao utatufanya member wote washiriki pasipo upendeleo na vile, itakayowashirikisha wadau wote wa UKAWA, CC, MMU,
SHERIA, MACHAPTA MAPHOTO, MADOCTA, na sehemu mbalimbali za dunia ya jf

Mwenyekiti wa TEAMRAFIKI : Mndengereko ataleta kwenu SCRIPT za maigiizo hayo nanyi mtaanza kufanyia kazi.

Katibu ladyfurahia : mm nitashughulika na mambo ya urembo, upambaji wa sehemu ambazo tutafanyia igizo hilo
pamoja na maakuli kwa ujumla

Mweka hazina: Tized : yeye atakuwa akiwaongoza washiriki (director wa film)

MAPENDEKEZO:

WALIOPENDEKEZWA KUCHEZA KWA ROUND YA KWANZA:
Mtambuzi, Mamndenyi, utafiti, MziziMkavu, Arushaone, mwallu, @C6, Passion Lady, kiwatengu, mwekundu, Tized, Mr. rocky, Kipaji Halisi, Nivea, Kongosho, Ntuzu, Lady doctor, snowhite, Asprin, (nadhani huyu asprin atakuwa main character), mwaJ, Zion Daughter, Mentor, C.T.U, Nyani Ngabu, Ladymasa

N.B: VUTENI SUBIRA KWANI IKO MBIONI KUANZA NA WASHIRIKI WOTE WANATAKIWA WAJE KATIKA JUMBA LA KUONYESHEA MAIGIZO HAYO PALE LTHP KISIWANI M/NYAMALA
SIKU YA JMOSI BILA KUKOSA

ONYO: PLS UKIPATA TAARIFA HII MUJULISHE NA MWENZAKO ASIYEFAHAMU.

Wasalaamu;

Ladyf

which position i'm going to play?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom