ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
Idea zinafanana eeeh! alafu usiwe mnoko
wewe ujue unawachosha wale wasiokuwa na majina humu CC au hujui hilo...
habari ya asubhi
Idea zinafanana eeeh! alafu usiwe mnoko
wewe ujue unawachosha wale wasiokuwa na majina humu CC au hujui hilo...
habari ya asubhi
"Basi, mbona wakitazama
kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu
yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako
mwenyewe huiangalii? au utamwambiaje
nduguyo, niache nikitoe kibanzi kilicho
jichoni lako na kumbe kuna boriti katika
jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe
boriti katika jicho lako wewe mwenyewe
ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi
katika jicho la ndugu yako"
Tafadhali mkuu si maneno yangu bali ni Biblia Takatifu ndio inasema.......

Hayatoki, basi nileteeni bomba kutokea hapo ulipo la yale maji yenye langi ya dhahabu
washikadau......Za maalwatani wa chit chat zinatembea balaa hata kama ni pumba
Ngojeni nikajipange alafu ni ludi, ila ukweli unabaki kulekule haina mantiki ya kujaza mi thread humu CC huku mingine ikipata comment 3 , 11 au 13 haina maana
copy:
watu8
Rich woman
charminglady
Ndeticha
Nicas Mtei