Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #21
charminglady na The secretary njooni na ushahidi kua mimi ndio muanzisha nyuzi mashuhuli humu ndani
Last edited by a moderator:
Mimi sijawah kuanzisha Post hata moja mkuu.
Copy kwa BishangaNa thread mbili tu humu, alafu sina mpango tena wa kuanzisha thread The secretary Miss u
We ndo kiboko wa kuanzisha threads
Umeamka salama? Mie ninazo mbili
"Basi, mbona wakitazama
kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu
yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako
mwenyewe huiangalii? au utamwambiaje
nduguyo, niache nikitoe kibanzi kilicho
jichoni lako na kumbe kuna boriti katika
jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe
boriti katika jicho lako wewe mwenyewe
ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi
katika jicho la ndugu yako"
Tafadhali mkuu si maneno yangu bali ni Biblia Takatifu ndio inasema.......
charminglady na The secretary njooni na ushahidi kua mimi ndio muanzisha nyuzi mashuhuli humu ndani
ndetichia like this
Nilidhani mie pekeyangu ndo nimeliona hili...
Sijaamka maana sijaamshwa...
tofauti ya hii thread na ya arushaone ni majina tu huku manoah kule arushaone..
Senkyuu vere aprili.... Habari ya uzima wako?? Ndetty???