Kwa wanaume wote wa chit chat; hii inawahusu!!!!!!!!!

Lady doctor

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
8,756
6,995
Kutokana na malalamiko tuliopata kutoka chumba cha ukaguzi kinachoendeshwa na Mkuu wetu Madame B ambayo huletwa na wanawake mbalimbali walio kwenye ndoa na ambao bado hawajaingia kwenye ndoa.

Wanawake ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, huogopa kuingia kutokana na masaburi wayapatao pindi wawapo kwenye mahusiano ya uchumba na vidume vyao.

Baadhi ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa, hulia sana kutokana na tabia za wanaume zao zisizoeleweka pamoja na kuoa wanawake wengi bila mpangilio maalum

Sasa basi kutoka na malalamiko hayo Lady doctor pamoja na Madame B tumeamua kukagua kila mwanaume ili tuweze kujua sababu za hawa wanawake wenzetu kulalamika na kukosa amani katika mahusiano yao

kwa ukaguzi mtapitia kwa The secretary kuandikisha jina then mtakuja kwangu Lady doctor niwakague, Madame B atafanya hitimisho.

Cc: Madame B The secretary Passion Lady Evelyn Salt Baba V Asprin Mr Rocky Arushaone Slave The Boss kiwatengu Mtambuzi himidin shansarie Mamndenyi na wana chit chat wote!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Naona umeingiliwa na ugonjwa wa machalii wa hili chama

992948_10201247872948004_226783769_n.jpg

Filipon hebu njoo uone watu wanavyoingilia fani yetu.

BTW nani alikudanganywa wanaume wanakaguliwa?

ONYO: Angalia usijetaka kukagua ukajikuta unakaguliwa wewe. Madhara yake ni makubwa!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
hivi unauhakina naunacho kinena ?
hujui kuwa pete ndiyo sababu za kuwaliza hao wanafunzz wenu?
 
Naona umeingiliwa na ugonjwa wa machalii wa hili chama

992948_10201247872948004_226783769_n.jpg

Filipon hebu njoo uone watu wanavyoingilia fani yetu.

BTW nani alikudanganywa wanaume wanakaguliwa?

ONYO: Angalia usijetaka kukagua ukajikuta unakaguliwa wewe. Madhara yake ni makubwa!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:

acha kuwadanganya wenzako wakati wewe mwenyewe pamoja na Baba V nimesha wakagua, acheni na wenzenu wakaguliwe...... Aalaaaaaaaa!!!!!!!
 
mie ruhsa kukaguliwa na Lady doctor ila tuwe faraghani eeeeeeeee?
 
Last edited by a moderator:
Mmhhhhhhhh, sasa hapo mnataka kukagua kitu gani Lady doctor maana napata shida kidogo kuelewa juu ya hapo unapokagua na mwingine kuhitimisha, duh hii nayo inaweza kuwa kali
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor umenena mie mwenzenu kila thread Bishanga anaoa Filipo nimeshakuandika jina du the needful tunaanza na wewe

na ndio maana tunataka kuwakagua tena haiwezekani mwanaume anao-oa ovyo hata makombo anabeba tu na katika ukaguzi wetu tutawapima hadi akili na nitamuomba Evelyn Salt awachunguze kiasi cha limbwata walilokula kwa mama ntilie haiwezekani wasiwe wanakula majumbani kwao hao.
 
Last edited by a moderator:
Mmhhhhhhhh, sasa hapo mnataka kukagua kitu gani Lady doctor maana napata shida kidogo kuelewa juu ya hapo unapokagua na mwingine kuhitimisha, duh hii nayo inaweza kuwa kali

tunakagua vitu vingi, kama akili, uwezo wako kifedha, mwenendo wako, kasoro zilizoko kwenye mwili wako ambazo ni kero kwa mwenza wako na mambo mengine kama hayo
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh hapa nahisi harufu ya damu Lady doctor ndio ulichoenda kufuatilia huko kuja kutukagua na unakagua nini haswa kama ana mshedede mkubwa au kibamia au ukiwa juu unakuwa nyuzi 90 au unakuwa doro
Halafu Madame B ni binamu yangu anikague kweli hapo ubinamu unaisha
Naomba tuwe wawili tuu huko room wakati tunakaguana
 
Last edited by a moderator:
acha kuwadanganya wenzako wakati wewe mwenyewe pamoja na Baba V nimesha wakagua, acheni na wenzenu wakaguliwe...... Aalaaaaaaaa!!!!!!!

Hivi pale nilikukagua!??, ulinikagua!??? au tulikaguana!?? na kwa nini ulikuwa unalia na kuning'atang'ata shingoni...!!??
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na malalamiko tuliopata kutoka chumba cha ukaguzi kinachoendeshwa na Mkuu wetu Madame B ambayo huletwa na wanawake mbalimbali walio kwenye ndoa na ambao bado hawajaingia kwenye ndoa.

Wanawake ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, huogopa kuingia kutokana na masaburi wayapatao pindi wawapo kwenye mahusiano ya uchumba na vidume vyao.

Baadhi ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa, hulia sana kutokana na tabia za wanaume zao zisizoeleweka pamoja na kuoa wanawake wengi bila mpangilio maalum

Sasa basi kutoka na malalamiko hayo Lady doctor pamoja na Madame B tumeamua kukagua kila mwanaume ili tuweze kujua sababu za hawa wanawake wenzetu kulalamika na kukosa amani katika mahusiano yao

kwa ukaguzi mtapitia kwa The secretary kuandikisha jina then mtakuja kwangu Lady doctor niwakague, Madame B atafanya hitimisho.

Cc: Madame B The secretary Passion Lady Evelyn Salt Baba V Asprin Mr Rocky Arushaone Slave The Boss kiwatengu Mtambuzi himidin shansarie Mamndenyi na wana chit chat wote!!!!!!!

Hapo juu uliposema "masaburi" sijakuelewa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom