Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ndugu wana Jf hasa wana Chit-Chat , tuweni na mpangilio wa kuanzisha thread, na sio tu ukijisikia kuanzisha thread basi unaanzisha na matokeo yake tunakuta hata baadhi ya thread hukosa wachangiaji, unakuta baadhi ya thread imepata wachangiaji 13 au 11 hii inakua haipendezi sana. Pia mnakua mnajaza SERVER bila sababu ya msingi.
Thread zenye mambo ya kitoto ziachwe hili lizingatiwe. Source Arushaone
Thread zenye mambo ya kitoto ziachwe hili lizingatiwe. Source Arushaone
Last edited by a moderator: