uadimu wa mwanaume aliyekamilika

hahahaha! Na ulivyo mbahili. Changia pampes za kijacho. Lol
Sikuombei mabaya,naomba mdumu milele na judgement, amini ninachosema kinatoka moyoni kabisa, yaani mapenzi ya siku hizi hayana zamana si unajua.
kama hayo unayaelewa basi Just in case ukiachika, usiku huo huo wa kuachika njoo straight na virago vyako vyote kwangu ispokuwa mawigi, nina ma album kibao ya nyimbo za kihindi za kubembelezea.
 
hahahahaha! Nimecheka kwa laudi spika. Kwahiyo mawigi yangu nitamwachia nani? Lol.
 
na wewe nikija huko nisikute desh desh (umejua eeh)?

Heheheeh huku hautokuta chochote utakuta vipicha picha vya kukukaribisha tu halaf nitalia kiunafiki kama dakika 2 ivi, nikinyamaza .............. (hizo dots nimeshindwa kuandika kwa huzuni ya sku hiyo itakavyokuwa)
 
mmmh jamani! Huzuni tena? Sio kwamba tutacheza kuch kuch hotae hadi asubuh? Lol
 
Kama skuonesha huzuni hautohisi nilikuombea uachike? manake hapa naleta hizi stori za kuhuzunika ili nionekani siiombei talaka itokee tu ukirizia mwenyewe hatokwi na chozi mpumbavu yoyote apa, si alikuacha mwenyewe bana sasa mi nahusikaje hata nilie? umetoa wazo zuri sana husny. Ubarikiwe ukiachika
 
khaaa! Halafu leo umeng'ang'ania chit chat. Hebu twende zetu mmu.
 
Kama skuonesha huzuni hautohisi nilikuombea uachike? manake hapa naleta hizi stori za kuhuzunika ili nionekani siiombei talaka itokee tu ukirizia mwenyewe hatokwi na chozi mpumbavu yoyote apa, si alikuacha mwenyewe bana sasa mi nahusikaje hata nilie? umetoa wazo zuri sana husny. Ubarikiwe ukiachika

klorokwini mbona unanletea uchuro ?
Umechoka kuvaa jeans mukubwa? Maanake sie watu wa pwani ! Hamtukawizagi mtu aanze kubadili misuli, na trousers zote zikawa tupa kulee!
 
Last edited by a moderator:

Judgement
Mkuu hapa natania kishemeji shemeji tu, wala usihofu, bibi wako tena wako pekeako hakyanani tena
 
Last edited by a moderator:
katika ulimwengu huu wa sasa mwanaume aliyekamilika amekuwa ni bidhaa adimu sana kupatikana, wewe mtoto wa kike umejiandaaje na ushindani huu ili kuhakikisha unaipata bidhaa hii adimu sana, hasa katika ulimwengu huu wa haki sawa kwa wote' jipande'

Mi najijua sijakamilika nina mapungufu yangu najua hata mwenzangu hivyohivyo kwa kujua mapungufu ya mwenza wangu naye kujua yangu hapo tunakuwa tumekamilika kumbuka TOGETHER YOU CAN MAKE IT
 
Back
Top Bottom