Tyta at work lol!

Tyta at work lol!

Chapati nimepika kwa mujibu wa idadi ya wana jf wote lol sasa basi Tyta kazila karibia nusu ndio nimeamua kuweka picha yake kumchoresha hebu ona hako ka mwili lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mbona bado zipo...

1234058_437656369678016_1370370917_n.jpg
 
Chapati nimepika kwa mujibu wa idadi ya wana jf wote lol sasa basi Tyta kazila karibia nusu ndio nimeamua kuweka picha yake kumchoresha hebu ona hako ka mwili lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nimekula kidogo sana....

1453456_476267115816941_1144204957_n.jpg
 
aaaaaa Mr Rocky! si mlikuwa wote na Excel siku hiyo...au miss chagga atuambie huyo mwenye cap ni nani...

544149_489896534453999_1112330812_n.jpg

Hivi hizi picha huwa unazitoa wapi? Yaani mie nikishaona jina Tyta kwenye uzi ni lazima niufungue maana najua kuna picha safiiiii inayoendana na tukio... Ila picha ambazo nikikumbuka huwa ninacheka mpaka leo ni ya "Ile thread ya bangi" yaani hiyo hizo picha mpaka leo nikikumbuka hata kama mwanangu kanikasirisha basi mie ni kucheka mpaka machozi.... Asante sana Tyta...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!!!! Loh!! Kweli Tyta at work watu na kazi zao bwana

Alafu mtu anapiga kazi namna hiyo alafu unamkopa na siku anakuambia umlipe unamwambia uongo kama wa fundi cherehani...lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ni wewe usibishe bhana weeee huyo wa kulia na vifungo vya shati umefungua unaonesha six pack lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina naona Tyta alipiga picha vibaya six pack yangu haikuonekana bana halafu si unaona nilivyojazia balaa mtaani hapa
 
Last edited by a moderator:
farkhina naona Tyta alipiga picha vibaya six pack yangu haikuonekana bana halafu si unaona nilivyojazia balaa mtaani hapa

Lazima iwe balaa six pack ndo habar ya mjini alafu wanavokugombania watatoana meno wallah.......

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Lazima iwe balaa six pack ndo habar ya mjini alafu wanavokugombania watatoana meno wallah.......

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ngoja nimtafute Tyta aonyeshe picha ya six pack yangu bana maana mtaanibwananigombania kwa hilo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom