Tyta at work lol!

Tyta at work lol!

Tyta ...mi sina la nyongeza nimekuvulia kofia!!! Sasa itabidi tuende kule bunge la katiba na wew kazi yako ni kuwapiga picha bila wao kujua wale wanaopiga makofi tu hata hoja ni ya kijinga!!!!
 
Last edited by a moderator:
Haa haa haaaa.... Ngoja siku Tyta alete picha yako na wewe ukiwa kazini
 
Ha ha ha ha Tyta kweli anajituma ana picha zinazorandana na kila tukio teh teh teh Michuzi kasingiziwa aisee
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha Tyta kweli anajituma ana picha zinazorandana na kila tukio teh teh teh Michuzi kasingiziwa aisee

Na hiyo bahasha aloweka kwapani imejaa mipicha lol....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha namuogopa balaa usikute hata zetu anazooo lol

Hahahahaha muogope hivo hivo si uongo kuna mmoja apo kashachona ati na mie niwekewe nkiwa kazini lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahahaha muogope hivo hivo si uongo kuna mmoja apo kashachona ati na mie niwekewe nkiwa kazini lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Teheee na unavyopenda picha sasa
 
Back
Top Bottom