- Thread starter
- #121
teh teh teh hizo niachieni mimi tu yaani navua shati kabisa naliweka pembeni
Hahhahahahha mkwe unamwaga radhi sasa mbele ya mkweo....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
teh teh teh hizo niachieni mimi tu yaani navua shati kabisa naliweka pembeni
Tatupa virago yake nje ashangae!!!!!Hahaahaha namskia anajua how much wewe penda yeye
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tatupa virago yake nje ashangae!!!!!
Wewe huyo?? lols
Hahahaha hivi unampa nini kakaangu hadi una jeuri hizo na kujiamini lol
Cc OLESAIDIMU
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wewe huyo?? lols
Hahahaha hivi unampa nini kakaangu hadi una jeuri hizo na kujiamini lol
Cc OLESAIDIMU
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kila siku anatishia kuniacha. Hajipendi ??
Kwani una mwingine..............utashaaa na rangi zote hutaacha ona!!!!!
Waswahili wanasema lazima ujue kula na asiyeona.................niachie tu huyu!!!!!!!!
Nyama namuhesabia mwenyewe........................ukimpa juice kwa jagi haulizi kama kuna ndoo, pipa au even a simtank!!!!!
Unaandaliwa kisaikolojia...........we ona kama vitisho tu!!!!!