Chapati nimepika kwa mujibu wa idadi ya wana jf wote lol sasa basi Tyta kazila karibia nusu ndio nimeamua kuweka picha yake kumchoresha hebu ona hako ka mwili lol
Hivi Tyta unapicha pigaga au unazimuvuzshaga na kuaploadigi kwa hisani ya watu wa naija? make huwa sikupati wapi wazitoa hizi still picha na mnato halafu kitu no fotoshopu!
Ole wako Tyta utupie picha nilivyompiga Excel kipindi nimemkuta anataka kumletea za kuleta miss chaggautafiti hapa ulipata division ngapi au ile ya Kawambwa ya mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.