Tyta at work lol!

Tyta at work lol!

attachment.php

Hahahahaha hakyamama duh aisee anaipenda kazi yake
 
Kama na wewe Karucee uliridhia miye kutoka na radio kwa ajili ya picha basi ntaamini kuwa unanichuna!!!!!!

Hahaahhaahhahaah au alikua anataka hela ya saluni na wallet iko empty ndio ukaambiwa ukauze radio alimradi mtoto apendeze....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahaahhaahhahaah au alikua anataka hela ya saluni na wallet iko empty ndio ukaambiwa ukauze radio alimradi mtoto apendeze....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nawe dadangu unamchekea tu!!!!!!
 
Tyta anatakiwa apewe tuzo,,,,,,,,si mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Tyta anatakiwa apewe tuzo,,,,,,,,si mchezo.

Anajitahidi kwa kweli energy yote anaitumia kwa kazi lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom