farkhina alikua anaenda sokoni anakatisha mtaa anamkuta jamaa anamfoto mtu aje kuweka msisitizo kwenye post yamtu
miss neddy ukimuona mtu kabeba camera anakatisha mtaani ujue umekutana na Tytahahahahaha ila zile za chap chap atafit kweli????
Hahaaahahha Tyta hii picha sijui kaitoa wapi? Au ulivunja kabati yngu?
hahahaha ndo unazuga eeeeh matunda wataka kula peke yako eeeeh
miss neddy ukimuona mtu kabeba camera anakatisha mtaani ujue umekutana na Tyta
Hahahaha umenishtukia
hahah nakuona njoo tule hayo matunda kabla hayajaanza kuota wadudu lol
Na umeona hii hali? Inabidi tu kwakweli
hahahahahaa afu weweeee
Nimefanyaje tena??????
Halafu camera kama sio digitali vile...sasa imagine kwenda kusafisha picha holaaa....chejo looote hilo halafu picha isitoke....