Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli"

Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana

Ameongeza kuwa, anawajua watu maarufu ambao wamepoteza utajiri wao kutokana na talaka katika ndoa

Tyler Perry mwenye utajiri wa zaidi ya dola za kimarekani bilioni 1.4, sawa na TSh. 3,703,448,000,000 amefanya mahojiano hayo na The Jennifer Hudson Show ambapo amebainisha wazi kwanini hajaoa na hatakuja kuoa kamwe akiamini ndoa ni mtego wa kumnufaisha mwanamke na kumfilisi mwanaume.

Tyler ana mtoto mmoja aliyezaa na ex wake Gelila Bekele
=======================================================================


Tyler Perry Reveals The One Thing Keeping Him From Marriage

Tyler Perry has revealed that he has no plans to get married, saying divorce is what concerns him about marriage.

The filmmaker explained in an interview that he has seen financially successful people “go broke” after going through divorce.

According to Perry, those experiences have influenced his decision to remain single rather than risk the financial consequences he associates with divorce.



=======================================================================

View attachment 3671436
Mboga hiyo

Mamboga lazima watadislike tu
 
Kataa Ndoa ni utapeli, mie nashangaa hata wanaume wanaohonga mapesa sijui wanashida gani
 
Tetesi halafu umemaliza na hukumu. Typical Mbongo.
Nmesema tetesi sababu mimi sio miongon mwa wanaomlawiti nisijekuombwa ushahid mahakaman nmekaa upande mzuri wakisheria maana jamaa linapenda kesi balaa lisijekunifunga ila jamaa ni li mama man
 
Yeye mwenyewe mwanamke anaanzaje kuoa? Kuna kesi alishinda alikuwa anamtongoza dume lenzie.
 
Back
Top Bottom