Twende Tukapime

Twende Tukapime

Unawezaje kwenda kavu natu ambae ndo mara ya kwanza mnakutana,

Lazma nivae karatas hata kama umetoka kupima leo
Kuna mashine zingine uvae usivae sawa tu, unaweza ingiza mikono na kupiga makofi.
 
Mtu ambae ni muthirika anaetumia ARV anakuwa na undetectable status. Hii ina maana viral load imekuwa cleared by ARV's. Sasa basi mtu huyu anachance ndogo ya kukuambukiza lakini mkipima atakutwa -ve.
Na hata majibu yake kwenye Vipimo huwa ovyo ovyo pia. Wajuzi hujua huyo, hutumia dawa. So, kuumia specialists ni muhimu pia.
 
Niliweka uzi hapa ukweli na uwazi katika mapenzi. HIV sikuhizi sio hukumu ya kifo, lakini mtu ambae ni +ve anaona aibu kusema kuwa mimi ni muathirika niko kwenye dawa. Labda kwakuwa Tanzania hakuna sheria ya kifungo kwa maambukizi holela ya HIV. Lakini ni vizuri kuwa muazi.
 
Nani keshawahi kuambiwa hivyo na mtu ambaye anataka kutoka naye?

Nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasmi na kugundua kwamba, hususan kwa wadada, kama kuna mkaka kawatokea na kama wao hawamfeel kivile na wanataka kumkataa bila kujeruhi hisia zake sana, basi huja na hiyo gia ya kwenda kupima.

Hiyo kupima si kwenda sijui kupima malaria au sijui presha....ni kwenda kupima VVU.

Teh teh teh...sasa kusema ukweli si watu wengi wenye ujasiri wa kwenda tu kupima hiyo makitu. Kwa hiyo mtu ukimwambia hivyo utaona pole pole anaanza kula kona kwa sababu ni sharti lililo gumu.

Kwa mfano mnakutana leo....mnaenda kwenye kideti chenu....halafu baadaye mwenzio anachomekea mambo ya kwenda kupima tena kesho tu.

Hapo kama huna ujasiri wa kwenda lazima utakula kona tu.
Majibu yakiwa hivi kimbia.
images

Hao wenye mistari miwili wote ni vimeo kwa 100%
images
 
Mtu ambae ni muthirika anaetumia ARV anakuwa na undetectable status. Hii ina maana viral load imekuwa cleared by ARV's. Sasa basi mtu huyu anachance ndogo ya kukuambukiza lakini mkipima atakutwa -ve.
Thanks sister, uliposema "mpaka mfahamiane vizuri" waweze kumfahamu ilhali virus wake ni undetectable kwenye kipimo? Maana HIV hawatambuliki kwa macho, na kama una date na mtu anayetumia ARV wengi wanafanya siri, ni namna gani waweze kumfahamu?
 
Niliweka uzi hapa ukweli na uwazi katika mapenzi. HIV sikuhizi sio hukumu ya kifo, lakini mtu ambae ni +ve anaona aibu kusema kuwa mimi ni muathirika niko kwenye dawa. Labda kwakuwa Tanzania hakuna sheria ya kifungo kwa maambukizi holela ya HIV. Lakini ni vizuri kuwa muazi.
Kuwa muwazi na mkweli na tabia ya mtu amabye ndani yake anauchamungu. Hao wako wachache sana. Na kutokana na kuwepo kwa tatizo la stigma, wengi huficha HIV status zao, na huku kwa kasi wakijitahidi kuusambaza kwa wapendwa wao. Muhimu ni kupima kabla ya ku-do.
 
Thanks sister, uliposema "mpaka mfahamiane vizuri" waweze kumfahamu ilhali virus wake ni undetectable kwenye kipimo? Maana HIV hawatambuliki kwa macho, na kama una date na mtu anayetumia ARV wengi wanafanya siri, ni namna gani waweze kumfahamu?

Kama ni mtu wako lazima katika kipindi hiki utangundua anakunywa dawa saa ngapi? Lazima atakwenda clinic. Lakini ni rahisi zaidi akiwa muazi.
 
Thanks sister, uliposema "mpaka mfahamiane vizuri" waweze kumfahamu ilhali virus wake ni undetectable kwenye kipimo? Maana HIV hawatambuliki kwa macho, na kama una date na mtu anayetumia ARV wengi wanafanya siri, ni namna gani waweze kumfahamu?
Pima kabla ya tendo. Kama anatumia dawa atafahamika kwa sababu damu hutawanyika ovyo kwenye vipimo, na kama anao atakimbia kwenda kupima. Usimuamini yeyote kwenye ili. PIMENI KABLA YA TENDO LA NDOA, na fanya hiyo kuwa tabia yako ya kudumu. Akikataa kupima, KAA NAYE MBALI.
 
Swali nilivyo lielewa ni kuwa kama mtu ana undetectable status atajuaje?
 
Hiyo inauliziwa as proposal ila hata anayeinsist huwa hayuko serious!
 
Kuwa muwazi na mkweli na tabia ya mtu amabye ndani yake anauchamungu. Hao wako wachache sana. Na kutokana na kuwepo kwa tatizo la stigma, wengi huficha HIV status zao, na huku kwa kasi wakijitahidi kuusambaza kwa wapendwa wao. Muhimu ni kupima kabla ya ku-do.
kupima kwa siku moja nayo ni kupima ? kama kapata ngoma jana je?
 
Rafiki yangu mmoja kutoka Kenya yeye ameishi na HIV kwa zaidi ya miaka 20. Wanaume wote kila anaemwambia ukweli kesho hapigi simu tena. Ameamua kudate mzungu, nae alimwambia ukweli, yule mzungu alikwenda kufanya research alirudi na kumwambia next appointment yako kwa Dr. twende wote, walipofika kwa Dr jamaa nae akauliza jinsi ya yeye kujikinga asipate maambukizi. Ni mwaka wa 5 huu wanaishi na ndoa wamefunga.
 
hyo inaitwa kujilipua kama alshabab
 
hivi virus vinaonekana baada ya muda gani kama mtu ameambukizwa?

Ni baada ya miezi mitatu mkuu, lakini kama umeambukizwa kwa ngono zembe kwa sasa hivi dawa ni nzuri ukiwahi kwa dr wiki mbili baada ya maambukizi wanaweza kurekebisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom