Tv imaan yapata kibali rasmi

Tv imaan yapata kibali rasmi

Status
Not open for further replies.
Hamtuumizi vichwa kwasababu tunajua kuwa mnachuki na Waislamu, na nawaapia mtajitahidi kushindana na WAISLAMU Lakini hamtoweza kushindana na UISLAMU. TAMBUA UISLAM NI AMANI. sasa nyinyi hamtaki AMANI. Kupata hiko kibali ishakuwa shida
Hebu tazama channel za kikafiri (kikristo/wagalatia) zipo ngapi?

Tunajua hamtoacha chuki zenu ila cha moto mtakiona, kwasababu UISLAMU UNANGUVU.
NOTE: 1. WAISLAMU - BINAADAMU
2. UISLAMU - MUNGU

uislam nguv uzitoe wap,labda za kigaidi na upumbav wenu wa kujiua kwa maagizo ya huyo mpumbav wenu allah na marehem muhamadi,waislam wenyewe hampendan hyo aman iko wap?mnauana huko mashark ya kat hakukalik,km n aman c ingekua huko?tushawamaliza saiv,ukileta kichwa unapewa kesi ya ugaid,guantanamo!
 
Kwenye Bible kuna vitabu vinne ambayo vinatuhusu Waislam (Labda kama hauujui Uislam) kuna Taurati ya nabii Mussa (Mussa ni mtume wetu) kuna Zaburi ya nabii Daudi (Daudi ni mtume wetu) Pia kuna Injiri ya nabii Yessu/Issa (Yessu ni Mtume wetu) Sasa unapo hoji Kwanini nasoma Bible nashindwa kukuelewa.

Mimi najua kwamba islam like christianity is an abrahamivich religion. nabii Daudi ni myahudi lkn waislam hawapendi Israel. Hata jinsi ya kuchukia nguruwe. kutawadha. kuvaa kanzu na kofia hata kuswali waislamu wamejifunzia kwa wayahudi lkn waislamu walio wengi hawayakubali mambo ya busara ya kiyahudi
 
mnatawala nani,,hahaha,mkuu unautani,mmemtawala nani,lini na wapi?

kile tunasema ndo mnafanya,ukristo utaendelea kutawala dunia,utatengeneza sera,mtazifuata,kila kitu mnafanya ni ambacho tunakiamua cc watemi wenu,nyie watoto wa house girl wetu.
 
Umeshausahau Mfumo Kristo mara hii?.Kweli nimeamini asiye na Elimu ni mwepesi wa kusahau.
nina maana yangu nilikua natafuta aya ili kusisitiza maadamu unanikimbiza ntaweka baadae.lakini ujue wakristo nao wanakamuliwa huko kanisani.mali zao,vindani etc,sasa anamcheka nani.

Hao wezi wa MOU si wakristo wote ni kikundi cha watu hawafiki hata 50.
 
Hakuna kabila linaloitwa mchaga alieasi,tuambie we mchagga wa wapi?

Nimeisha kwambia uchaga nimeuasi.
Na kukumbuka nilikotoka ni kuukubali ulaji wa kinyesi!
Yaani roho inauma sana nikikumbuka!
Usiniulize tena
 
Tv imaan yapata kibali rasmi. Tv hii inaendeshwa na islamic foundation.
Licha ya islamic foundation kumiliki tv. Pia ina redio na shule za sekondari.lakini inamiliki zahanti nyingi hapa nchini zinazosaidia waislam na wasiokuwa waislam
pia ni taasisi iliokaribu sana na chuo kikuu cha waislam morogoro ambapo mwenyekiti wa islamic foundation ndie mshauri mkuu wa fedha chuoni.

Alhamdulillah, asa kheyr
 
Nimeisha kwambia uchaga nimeuasi.
Na kukumbuka nilikotoka ni kuukubali ulaji wa kinyesi!
Yaani roho inauma sana nikikumbuka!
Usiniulize tena
Huna hoja ndio maana unakimbia,usitake lazimisha kisicho asili yako,we mdengeleko unalia eti mchagga ulieasi,hakunaga ilo kabila..
 
Peter mwanafunzi wa yesu ndo kati ya wanafunzi waliokuwa na tamaa sana ya pesa.
Nakumbuka hata wakati yesu anamwita amfuate,peta aliuliza,''MIMI NTAPATAMO NINI KWENYE DEAL HILI.''
Kuna kipindi peter alimkera sana yesu hadi akamfokea,"ONDOKA NYUMA YANGU SHETANI WE".
Lakini huyohuyo peter tunaambiwa kuwa kanisa limejengwa juu yake,aliambiwa''we ndo peter na juu ya mwamba huu ntalijenga kanisa langu''.
Hapa maana yake kama peter aliitwa shetani ndo kusema kanisa limejengwa juu ya nanilii?.
Huyo peter hata baada ya kuanza injili alikua akiwalazimisha waumini wauze kila walichonacho na kumpatia pesa kwa lazima.
Matendo ya mitume5:1-10.
>ANANIA NA SAPHIRA walilazimishwa kuuza ardhi yao,waliuza na kuficha kiasi cha pesa kisha zingine wakampa peter.
Peter akamwambia,kwanini unamdanganya mungu na kuficha baadhi ya pesa.hapohapo anania akaanguka na kufa.
Safira mkewe alikua nje akaingia ndani,peter akamwuliza,'hizi ndo pesa zote mlizouza shamba?'.
Safira akajibu ,'ndiyo'.
Peter akamwambia .'unamjaribu mungu?UNASIKIA VISHINDO VYA MIGUU,HAO WAMETOKA KUMZIKA MMEO,WATAKUCHUKUA NA WEWE'.
Hapohapo saphira akaanguka na kufa.

Sasa huu uroho wa pesa wa hawa jamaa ni wakurithi,ndo maana hawaoni tabu kukwapua pesa za walipakodi hazina kwa kisingizio eti ni MOU.
 
nina maana yangu nilikua natafuta aya ili kusisitiza maadamu unanikimbiza ntaweka baadae.lakini ujue wakristo nao wanakamuliwa huko kanisani.mali zao,vindani etc,sasa anamcheka nani.

Hao wezi wa MOU si wakristo wote ni kikundi cha watu hawafiki hata 50.

Sasa kama wakristo wenyewe wameamua kukamuana wewe inakuhusu nini.Na kama wezi wa MOU sio Wakristo wote kwa nini kuwalaumu wakristo badala ya kulaumu hako kakikundi.
Kitu Pekee unachotakiwa ukielewe ni kwamba Elimu ndio Mkombozi wa Manyanyaso yote na sio Kukaa Chini na Kulalamika.Wazungu wanaendelea kutunyonya kutokana na Elimu ndogo tuliyonayo.Hali kadhalika humu nchini wenye Elimu wapo juu ya Sheria kutokana na Elimu Ndogo ya Asilimia kubwa ya Watanzania.
 
Sasa kama wakristo wenyewe wameamua kukamuana wewe inakuhusu nini.Na kama wezi wa MOU sio Wakristo wote kwa nini kuwalaumu wakristo badala ya kulaumu hako kakikundi.
Kitu Pekee unachotakiwa ukielewe ni kwamba Elimu ndio Mkombozi wa Manyanyaso yote na sio Kukaa Chini na Kulalamika.Wazungu wanaendelea kutunyonya kutokana na Elimu ndogo tuliyonayo.Hali kadhalika humu nchini wenye Elimu wapo juu ya Sheria kutokana na Elimu Ndogo ya Asilimia kubwa ya Watanzania.
pesa zilizoko hazina ni walipakodi wote wakristo kwa waisramu,sasa kama kikundi cha maharamia wachache wanajichotea na kujenga mashule na mahospital kisha hizo huduma wanacharge bei kubwa unadhani watu watakaa kimya?
 
mashallah Tv Imaan.me napenda wakituwekea na vipindi vya Peace tv.na vipindi vya harakati kama zile islamic medical camp.na harakati zingine za kijamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom