Tv imaan yapata kibali rasmi

Tv imaan yapata kibali rasmi

Status
Not open for further replies.
Waislam msilalamike bure. tumewapa urais. rais hakai ofisini anakaa hewani. tumewapa makamu hakai ofisini anafungua washa. tumewapa mawaziri kibao uwaziri. wamekua miziho isiyobebeka. tumewapa viwanja pale Kibasila ..mmemuuzia Manji kwa bei chee. tumewapa ruksa ya kuoa wake wanne. mnaongoza kwa nyumba ndogo na umalaya. tumewafundisha usafi mnakuja oficini na janaba. tumesema nguruwe ni mchafu. waislamu wa kigogo wanaongoza kwa kutafuna kitimoto. mmepewa kur an mnasoma Biblia tena kwenye mihadhara. mpewe nini mtulie

Duh we jamaa ni noma..wamepewa Quran wanakomaa na Biblia
 
Makafiri bhana!! TV tu munaanza kujamba jamba, je mukisikia tumefanikiwa kuutokomeza MFUMO je?
 
MNYISANZU@ Chuki yako kwa waislam haitakusaidia kitu wewe kila kitu kinachohusu uislam wakisema vibaya hivi waislam kua na Tv pia roho yakuuma? Sasa chukia mpk upasuke Uislam utakuepo Daima dumu
 
Makafiri bhana!! TV tu munaanza kujamba jamba, je mukisikia tumefanikiwa kuutokomeza MFUMO je?

nyie je ? mnayo qur an lkn kwenye mihadhara mnadiscus THE HOLY BIBLE. kur aan hamwezi kuisoma ndio maana maana imeandikwa sivyo
 
Na Mustafa Akoonay je? Muhonga Ruhanywa? Mohamedi Mtoi? Abdallah Safari? Maulida Komu je?
Kati ya hawa ulio wataja Muislamu wa kweli ni mmoja tu (Abdallah Jumbe Safari) hao wengine hawana tofauti yeyote na wewe. Sikumoja saribu kumuuliza Mtoi, Marayamwisho kuingia Masjid ilikua mwaka gani? Usishangae hajawai hata kuingia tangu azaliwe.
 
Last edited by a moderator:
Tv imaan yapata kibali rasmi. Tv hii inaendeshwa na islamic foundation.
Licha ya islamic foundation kumiliki tv. Pia ina redio na shule za sekondari.lakini inamiliki zahanti nyingi hapa nchini zinazosaidia waislam na wasiokuwa waislam
pia ni taasisi iliokaribu sana na chuo kikuu cha waislam morogoro ambapo mwenyekiti wa islamic foundation ndie mshauri mkuu wa fedha chuoni.
Malaria Sugu lazima aote kitambi
 
Last edited by a moderator:
Makafiri bhana!! TV tu munaanza kujamba jamba, je mukisikia tumefanikiwa kuutokomeza MFUMO je?

Kwenye baraza la mawaziri litakalo teuliwa hivi punde naomba niwe waziri wa elimu. nitahakikisha wanafunzi wote std one mpaka tertiary wanabadili dini na kuwa wakristo kama wakati wa mkoloni. husomi mpaka uwe mkristo
 
Nashukuru kwa tv iman kupata kibali kwa wale tunaotaka kumwabudu allah kwa uhakika ni faraja kubwa kwetu.nasikitika sana kuona kila jambo la waislamu wasio waislamu wanalidandia kwa chuki sana !!ili tuwe salama lazma tujifunze kuvumiliana.
 
Jamani kituo kimoja tu hicho kinawatoa roho nyie mbona mna vituo vingi tu vinafanya mchezo wa maigizo na mazingaombwe kanisani,,,sasa mnaogopa nini sisi pia tukienda kukataza nyie msioane Wanaume kwa Wanaume?
 
nyie je ? mnayo qur an lkn kwenye mihadhara mnadiscus THE HOLY BIBLE. kur aan hamwezi kuisoma ndio maana maana imeandikwa sivyo
Kwenye Bible kuna vitabu vinne ambayo vinatuhusu Waislam (Labda kama hauujui Uislam) kuna Taurati ya nabii Mussa (Mussa ni mtume wetu) kuna Zaburi ya nabii Daudi (Daudi ni mtume wetu) Pia kuna Injiri ya nabii Yessu/Issa (Yessu ni Mtume wetu) Sasa unapo hoji Kwanini nasoma Bible nashindwa kukuelewa.
 
Jamani kituo kimoja tu hicho kinawatoa roho nyie mbona mna vituo vingi tu vinafanya mchezo wa maigizo na mazingaombwe kanisani,,,sasa mnaogopa nini sisi pia tukienda kukataza nyie msioane Wanaume kwa Wanaume?

Kaka kula tano. wakristu mnazo kibao wenzenu wana moja. tena haijaanza tiyari mshaanza. waacheni nao wapate mawaidha na hadith
 
Kwenye baraza la mawaziri litakalo teuliwa hivi punde naomba niwe waziri wa elimu. nitahakikisha wanafunzi wote std one mpaka tertiary wanabadili dini na kuwa wakristo kama wakati wa mkoloni. husomi mpaka uwe mkristo
Utakua haujafanya kitu kipya bali utakua ume copy kutoka kwa Joyce Ndalichako.
 
Uzi ulikuwa ni nzuri lakini wachangiaji wameharibu kwa kubase kwenye imani na udini.
 
waislamu na waarabu ni watu hatari sana wanaoeneza udini na ukabila tunatakiwa kuwaogopa sana hawana tofauti na ccm ndo chama cha ukabila kuanzia raisi makamu;wote ni waislamu
 
pongezi kwao.labda watapunguza chuki kwa wakristo.
 
Kwenye baraza la mawaziri litakalo teuliwa hivi punde naomba niwe waziri wa elimu. nitahakikisha wanafunzi wote std one mpaka tertiary wanabadili dini na kuwa wakristo kama wakati wa mkoloni. husomi mpaka uwe mkristo

Haitosaidia kuondoa UISLAM. Wewe bado unataka kutumia njia ambazo mabubu zako walishindwa? Una akili timamu? Wenzako wanatumia teke linalokujia na wanashindwa. 1 day utaukubali UISLAM na utakumbuka ujinga wako, na utatubu in'sha'Allah!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom