Tv imaan yapata kibali rasmi

Tv imaan yapata kibali rasmi

Status
Not open for further replies.
Na wakristo NA MAYAHUDI WABAYA MNO.

WANAVAMIA NCHI ZA KIISLAMU NA KUUWA WATOTO WAO NA KUNYANG'ANYA MALI ZAO.

Hawana tofauti na kile chama cha wachaga.wanao sababisha ubaguzi na ukabila hapa nyumbani. Mwenyekiti na viongozi wengi wa juu ni wakristo tena wachaga.
Na wewe kaazishe chako uwe mwenyekiti,unaogopa kutaja kabila lako kisa kutwa nzima wanashinda kwenye draft na bao usiku chuma ulete..
 
ninachokiona humu kwenye jf ni ukiristo na ukiristo na ukiristo. Suala lolote linalohusu wafuasi wa dini ya kweli, dini ya mjumbe wa allah (swt) ambae ni mtume muhammad (saw), hupigwa vita vya hali ya juu. Hamuna uvumilivu. Why ????

yesu ni mungu
 
Ninachokiona humu kwenye jf ni ukiristo na ukiristo na ukiristo. Suala lolote linalohusu wafuasi wa dini ya kweli, dini ya Mjumbe wa Allah (SWT) ambae ni Mtume Muhammad (SAW), hupigwa vita vya hali ya juu. Hamuna uvumilivu. Why ????

hadi muache kuchoma makanisa yetu na kutaka kupata vyeo serikalini wakati hamjasoma!
 
Hatimae mfumo kristu umeruhusu..nilikua nashangaa mbona wanaibania hii tv,nadhani pengo kampigia jamaa wa TCRA na kumwambia,''waruhusu kwa sasa kisha kuelekea jenero elekisheni tafuta sababu ya kuwafungia''.

Una Maruhani ya mwamedi.
 
We makalio Pengo kaingiaje hapa,una ushahidi Pengo karuhusu au kuzuia iyo Tv kupitia TCRA...
sorry me sijaongelea makalio ya pengo...mimi nilichosema ni kuwa pengo atakua amehusika kuruhusu..unadhani mi mroho wa makalio,acha wivu bana,mimi hayo mambo sihusiki nayo,ila kwanini usitafute kijana mwenzio?
 
hadi muache kuchoma makanisa yetu na kutaka kupata vyeo serikalini wakati hamjasoma!

We msukule nani ana haja ya kuchoma hayo majumba mnayotoleana mapepo?
Na kucheza mayenu?
Si bora kuyaacha tu ili mzidi kudanganywa na kutolewa mapepo kule nyuma ya madhabahu!
Manake unapotolewa pepo wewe. Si haituhusu llt na hayo majora wanayokuchana wewe sisi aaaaaa!
Wala hatuoni!
Nyie endeleeni kuchoma wenyewe hayo makanisa ili muendelee kuiba ike michango ya wanakondoo na kudai bima ya mamilioni mengi!
Iko siku mtadakwa tu!
Halafu mkipelekwa jela. Huko unatolewa.mapepo HADHARANI wala hakuna siri.
 
Kwenda zako huko, unitafute wapi mimi? Nyie wote mnafanana tu na Tv yenu ona mnavyotukana na kujiaibusha tu ni bora kuwa kimya

Tatizo lenu ndio hilo matusi muyaanzishe nyie mkijibiwa mapigo mnasema upande wa pili ndio unaotukana- tayari mmeshaambiwa kwenye moja ya machangio yaliyopita kwamba ngumi hujibiwa kwa ngumi na wala sio kofi, na kwa kweli huo ndio uungwana!!!
 
Na wewe kaazishe chako uwe mwenyekiti,unaogopa kutaja kabila lako kisa kutwa nzima wanashinda kwenye draft na bao usiku chuma ulete..

yaani mkuu inanikera mijanaume mizima inashinda kutwa inagaragara msikitini na watoto wao wanashinda madrasa na kutuongezea idadi ya maziro mitihani form four....badilikeni UVIVU hautawapeleka kokote!
 
Watu weusi bana,tabu tupu,sio kila hadithi utakayothimuliwa ni ya ukweli,mambo ya Dini ni hadithi ambazo watu wamekuwa wakiamini vizazi na vizazi,na kuamini hadithi moja kusikufanye uwe mji.nga wa kukejeli hadithi aliyoiamini mwingine,sababu mwisho wa siku true enlightenment au fulfilness ya imani yako haitakuja kwa kukejeli imani yea mwingine,watu weusi tumekosa muongozo wa vizazi vyetu na tumejikuta tukigawanywa katika vikundi vilivyoamini hadithi tofauti na kukosa umoja kati ya vikundi hivyo,tuendeleeni tu kuchukiana sababu hiyo ndio njia tuliyochagua ya kuwa loyal to our beliefs,na sidhani Kama itatufikisha mbali zaidi ya kutofautisha jinsi tutakavyozikwa. Either kiislamu au kikristo.
 
Alhamdulillah. Hatimae nasi tumepata ka tv ka kwanza.
Mungu awalinde viongozi wetu wa The Islamic Foundation. Tunamshukuru Mungu muumba wa mbingu na aridhi na vyote vilivyomo.
Pia binafsi nawashukuru wote waliowezesha kibali hiki kutoka.
 
sorry me sijaongelea makalio ya pengo...mimi nilichosema ni kuwa pengo atakua amehusika kuruhusu..unadhani mi mroho wa makalio,acha wivu bana,mimi hayo mambo sihusiki nayo,ila kwanini usitafute kijana mwenzio?
Hapo ulipo chichiman,bwattyboy madrasa hukupona watu wametusua hadi centre bolt,unasingizia uteja kumbe ushakata ringi..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom