Tv imaan yapata kibali rasmi

Tv imaan yapata kibali rasmi

Status
Not open for further replies.
pesa zilizoko hazina ni walipakodi wote wakristo kwa waisramu,sasa kama kikundi cha maharamia wachache wanajichotea na kujenga mashule na mahospital kisha hizo huduma wanacharge bei kubwa unadhani watu watakaa kimya?

Acha kudanganya au Kudanganywa au Kudanganyika.Kuna Uzi uliletwa hapa JF na ulitoa Majibu Mwanana kuhusu MOU.Kwa ufupi Serikali ya CCM mnayoipigia Kampeni Misikitini haijafikia Ujinga wa Kutoa Fedha za Walipakodi kwa ajili ya Manufaa ya Watu wachache.Fedha hizo zinatolewa kwa Utaratibu maalum tena uliokubalika baada ya wenye akili kutafakari na kuona zina manufaa Makubwa kwa Watanzania walio wengi.Mkataba huu ulisainiwa Enzi ya MUISLAMU Mwinyi na Asilimia kubwa inatoka kwa Wafadhili zikilenga huduma za Kijamii.Kama unaamini Muislamu(MWINYI)alifanya haya kwa lengo la kulinda watu wachache,basi kubaliana na wanaosema Waislamu ni watu Dhaifu na wasioweza kuongoza kwa Haki.
 
Ujumbe kwenu Moderators

Nina wasiwasi na utendaji wenu kwasababu haiwezekani mkaachia thread hii iendelee ilhali upepo tayari ushachafuka, hakuna LA maana hapa zaidi ya matusi na kashfa dhidi ya imani za watu au inawezekana nyie wenyewe ndio wachangiaji wakubwa wa haya yanayoendelea kwa kutumia ID zenu nyingine feki. Please futeni huu mjadala usio na tija kwa Amani ya taifa otherwise labda mnapenda yanayotokea Nigeria and Central Africa yahamie Tanzania, nao pia bila shaka walianza kama hivi.

Nawasilisha
 
tv iman ndio muelekeo wake huu..hii thread ni taswira jinsi hii tv itakavyokuwa.

Kaka huu ni upuuzi wenu hauhusiani na Tv.
Nyie mmeamua kujitwisha madhambi kwa kutukanana yasiyoruhusiwa na dini zote,msukumo mkubwa wa matusi yenu wote mnaotukana ni shetani.
Mleta mada just katoa taarifa sasa watu mkaona sasa mmepata sehem ya kutukaniana.
Civilized people kisha mnajiita
 
Bora hiyo TV ingeitwa " The Terrorists TV". Uislam ni janga la dunia.

imeni yenu imejengwa kwenye misingi ya regevu sana. kuamini radio magazeti na kusahau maandiko!. ebu someni maandiko kisha mumjue muone ibadazenu hizo za vijisanamu na utatu zinawaelekeza wapi. mungu hawezi kua binaadamu hata aseme uongo!. kaa huko huko ukachomwe moto. amini walikuepo wakaidi zaidi yako leo wako wapi???.
 
Sijui wakitoa mapovu ndiyo TV IMAAN itapokonywa kibali? Sasa mtu kama Tv hiyo haikuhusu ya nini kujishughulisha nayo? Utalazimishwa kuitazama kwani? Hovyo sana.

Hongera sana kwa mafanikio mliyoyafikia THE ISLAMIC FOUNDATION, tunasubiria Chuo Kikuu Mwanza na chenyewe kuna wahuni watakuja kutoka povu hapa.
 
Acha kudanganya au Kudanganywa au Kudanganyika.Kuna Uzi uliletwa hapa JF na ulitoa Majibu Mwanana kuhusu MOU.Kwa ufupi Serikali ya CCM mnayoipigia Kampeni Misikitini haijafikia Ujinga wa Kutoa Fedha za Walipakodi kwa ajili ya Manufaa ya Watu wachache.Fedha hizo zinatolewa kwa Utaratibu maalum tena uliokubalika baada ya wenye akili kutafakari na kuona zina manufaa Makubwa kwa Watanzania walio wengi.Mkataba huu ulisainiwa Enzi ya MUISLAMU Mwinyi na Asilimia kubwa inatoka kwa Wafadhili zikilenga huduma za Kijamii.Kama unaamini Muislamu(MWINYI)alifanya haya kwa lengo la kulinda watu wachache,basi kubaliana na wanaosema Waislamu ni watu Dhaifu na wasioweza kuongoza kwa Haki.
mwinyi sio mungu wala sisi hatunaga mambo ya kuabudu watu,nasikia kuna watu humu wanamuabudu george bush,sisi haipo hiyo.pesa ya MOU inapigwa kisanii kama pesa za Epa.wala hizo huduma zinazotokana na pesa hiyo hazimsaidii mwananchi wa kawaida kwani ada zao ziko juu sana.

Ni vile tu hii issue ya Mou hasa ndo itafanya uzi ufungwe kwani hairuhusiwi kuyachimba chimba mambo ya mou.
 
Jenga Hoja Kisomi,Peleka Hoja zako Serikalini zichambuliwe na Serikali ya CCM inayoongozwa na Alhaji Kikwete na Makamu wake Alhaji Dr.Bilal.Kama zina Mashiko watakusikiliza hasa ikizingatiwa ni Mwislamu mwenzao.Mimi binafsi sipendi Dhulma na kama kweli mnadhulumiwa hamtendewi haki.Ila uhakika nilionao ni Kwamba MOU ipo vizuri na wenye AKILI na HEKIMA wote wanaikubali.Tatizo ni kwamba hakuna Mtu Serikalini anayependa kusema ukweli kwa sababu wanataka waendelee kuutumia umma wa kiislamu kwa manufaa ya kisiasa.
 
Ninachokiona humu kwenye jf ni ukiristo na ukiristo na ukiristo. Suala lolote linalohusu wafuasi wa dini ya kweli, dini ya Mjumbe wa Allah (SWT) ambae ni Mtume Muhammad (SAW), hupigwa vita vya hali ya juu. Hamuna uvumilivu. Why ????

Ngoja ujio ISSA BIN MARIAM ukipenda Muite Neno la ALLAH, AMBAYE SIO MTU (Vinginevyo utathibitisha kuwa mbinguni kuna mtu anaishi bila kufa) ndio utajua ukweli wa dini yako.
 
Ngoja ujio ISSA BIN MARIAM ukipenda Muite Neno la ALLAH, AMBAYE SIO MTU (Vinginevyo utathibitisha kuwa mbinguni kuna mtu anaishi bila kufa) ndio utajua ukweli wa dini yako.

Kijana we una habari katika hilo ANDIKO LENU KUNA VIUMBE WA MUNGU WENGI TU MLIWAITA MUNGU??
Kwa hio sisi hatushangai kwa nyinyi kumuita YESU MUNGU!
Na huo ndio.UKAFIRI MKUBWA KABISA!

Andiko linakwambia MUNGU NI MMOJA TU!

Kumbukumbu La Torati 6:4, 5

BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja. Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote

.Isaya 45:18Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine.

1 Wafalme 8:60

Watu wote wa ulimwengu Wajue ya kuwa BWANA ndiye Mungu; hakuna mwingine.Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine.

NYIE MNASEMA MNA MIUNGU WATATU KWA MMOJA!
Jamani lini mtaamka msome hilo andiko lenu WENYEWE?
 
Kwahiyo Nabii ISSA NI BINADAMU KAMA MIMI NA WEWE SASA MBINGUNI ANAFANYANINI Miaka yote hiyo Kabla hata ya Mohammed.....na hadi siku ya mwisho ndio aje......JIULIZE VIZURI MKUU...naomba andiko la ni binadabu gani atakaa mbinguni na Mungu then atashushwa tena duniani akiwa kama alivyo ondoka (sio mzee)....
 
Bora hiyo TV ingeitwa " The Terrorists TV". Uislam ni janga la dunia.

Nibora uitwe muuwaji(gaidi) kuliko kuwa/kuitwa ------ (mfffiii..rw..) naweza kukubali kuwa gaidi kuliko kuwa ------ mtanuliwa makalio kama ww.wakiristo wengi wameanza kuowana wanaume kwa wanaume tena makanisani.sijui wamepata wapi aya za kufanyana nyuma
 
Peter mwanafunzi wa yesu ndo kati ya wanafunzi waliokuwa na tamaa sana ya pesa.
Nakumbuka hata wakati yesu anamwita amfuate,peta aliuliza,''MIMI NTAPATAMO NINI KWENYE DEAL HILI.''
Kuna kipindi peter alimkera sana yesu hadi akamfokea,"ONDOKA NYUMA YANGU SHETANI WE".
Lakini huyohuyo peter tunaambiwa kuwa kanisa limejengwa juu yake,aliambiwa''we ndo peter na juu ya mwamba huu ntalijenga kanisa langu''.
Hapa maana yake kama peter aliitwa shetani ndo kusema kanisa limejengwa juu ya nanilii?.
Huyo peter hata baada ya kuanza injili alikua akiwalazimisha waumini wauze kila walichonacho na kumpatia pesa kwa lazima.
Matendo ya mitume5:1-10.
>ANANIA NA SAPHIRA walilazimishwa kuuza ardhi yao,waliuza na kuficha kiasi cha pesa kisha zingine wakampa peter.
Peter akamwambia,kwanini unamdanganya mungu na kuficha baadhi ya pesa.hapohapo anania akaanguka na kufa.
Safira mkewe alikua nje akaingia ndani,peter akamwuliza,'hizi ndo pesa zote mlizouza shamba?'.
Safira akajibu ,'ndiyo'.
Peter akamwambia .'unamjaribu mungu?UNASIKIA VISHINDO VYA MIGUU,HAO WAMETOKA KUMZIKA MMEO,WATAKUCHUKUA NA WEWE'.
Hapohapo saphira akaanguka na kufa.

Sasa huu uroho wa pesa wa hawa jamaa ni wakurithi,ndo maana hawaoni tabu kukwapua pesa za walipakodi hazina kwa kisingizio eti ni MOU.
acha kukashifu dini hujui mtume wako alivyobadili quran ili atimize uzinzi wake
 
Kwahiyo Nabii ISSA NI BINADAMU KAMA MIMI NA WEWE SASA MBINGUNI ANAFANYANINI Miaka yote hiyo Kabla hata ya Mohammed.....na hadi siku ya mwisho ndio aje......JIULIZE VIZURI MKUU...naomba andiko la ni binadabu gani atakaa mbinguni na Mungu then atashushwa tena duniani akiwa kama alivyo ondoka (sio mzee)....

Katika SHERIA ZA MAANDIKO
HUWEZI KUULIZA.ANDIKO UTAKAVYO WEWE!

Kuwepo hai kwa Yesu (issa mwana wa mariam) hata kwenye Quraan kumetajwa na kweli atarudi kwa kazi maalum aliyopewa na MUNGU!
Sasa labda nikupe darasa kidogo hapa KTK HILOHILO ANDIKO LAKO KUHUSU HUO Uungu unaodai wa Yesu.

JE! MUNGU NA YESU NI MMOJA?

Makanisa ya Kikristo yanafunza ya kuwa Yesu Kristo si kama kuwa ni Mwana wa Mungu tu, bali hakika ni Mungu khasa.- Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni mmoja.- Watatu katika mmoja, na mmoja katika watatu.- Wote ni wa milele, wote ni sawa.- Yesu ni Mungu, na Mungu ni Yesu.

Hiyo ni imani ya Kikristo, ambayo inaaminiwa na karibu Wakristo wote.-

Hebu tuifunue Biblia tutazame inasema nini katika jambo hili?

-Mt Paulo katika barua yake ya kwanza kuwapelekea Wakorintho aliandika:

Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.

1 Wakorintho 15.15

Juu ya kuwa Paulo anaambiwa ya kuwa akiamini kuwa Masihi (yaani Kristo) na Mwenyezi Mungu ni kitu kimoja hapa anasema: "Tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo." Ikiwa Mungu kamfufua Kristo, hawawezi kuwa wote wawili hao ni mtu- mmoja. Mmoja alikuwa ni mtenda, mfufuaji, na wa pili alikuwa ni mtendwa, mfufuliwa. Kama Kristo ni Mungu mwenye uwezo wa kufufua basi maelekeo ni kusema: "Kristo kajifufua", sio kafufuliwa.

Mwenye kufufuliwa ni mfu asiyejiweza kitu.-Katika kitabu cha Matendo ya Mitume inasimuliwa kuwa Mt Stefano alisema aliyoyaona yaliyo mbinguni. Alisema:

Tazama!- naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.

------Matendo 7.56

Mwana wa Adamu ndiye Yesu, na kwa jina hilo ndio mwenyewe akipenda kujiita, sio Mwana wa Mungu. Hapo basi huko mbinguni Stefano anasema anamwona Yesu kakaa mkono wa kulia wa Mungu. Mwenye kukaa mkono wa kulia wa fulani hawezi kuwa ndiye yule yule fulani. Hayo ni maelezo ya mbinguni.-

Ni wazi basi kwa ushahidi wa Biblia kuwa Yesu hakuwa Mungu mbinguni kama alivyokuwa si Mungu duniani.

-Yesu alipokimbilia kwenye Mlima wa Zaituni na huku akisakwa na Mayahudi alijitenga na wanafunzi wake.- Huko faraghani aliomba hivi:

Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.- Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.

- Luka 22.42-43

Hapa tunaona mambo matatu muhimu:

Yesu anamwomba Mungu.
Yesu anamwabudu Mungu.
Wawili hao ni mbali mbali, na vyeo vyao ni mbali mbali.

Yesu ni mtumwa mnyonge mwenye kuomba na kuabudu.

Na Mungu ni Mwenyezi Mungu mwenye uwezo wote na mwenye kustahiki kuabudiwa pekee, hata na Yesu, mwenye kutakiwa msaada pekee, hata na Yesu.

Mapenzi ya Mungu ni mbali na yale ya Yesu. Yesu hataki kuuliwa, ananyenyekea na kuomba kwa Bwana wake: "uniondolee kikombe hiki" cha mauti.-

Yesu hana azma hata chembe ya kufa msalabani, kifo cha mhalifu, kifo cha laana kama maadui zake- Mayahudi walivyoazimia kumpatilisha nacho. Lakini anakiri kuwa ni mapenzi ya Mungu sio yake yeye yatendeke. Yeye hana hila wala nguvu za kuzuia kudra ya Mwenyezi Mungu.

Yesu, Mwana wa Adamu, anakata tamaa. Imani inampunguka. Kavunjika moyo. Ikabidi "Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu."

Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu? Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa? Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyo hadithiwa na Yohana kuwa kasema:

Baba ni mkuu kuliko mimi.

Yohana 14.28

Na mwishoni naye yupo mslabani:

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani?- yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?

Mathayo 27.46

Yafaa hapa tujiulize: Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu? Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"?- Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.- La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo.-
Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.- Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.-Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.

Sasa mpaka hapa nadhani umemsoma YESU mwenyewe akisema nini.

Jamani fuateni andiko kama lilivyo!
Msikubali kubadilishiwa maana mkaambiwa vitu visivyoingia akilini na nyie mkakubali!
 
Inshaallah Mwenyezimungu awajaalie viongozi wake kila lakheri watufikishie elimu ya dini na dunia kupiti vipindi mbalimbali!
 
Waislam msilalamike bure. tumewapa urais. rais hakai ofisini anakaa hewani. tumewapa makamu hakai ofisini anafungua washa. tumewapa mawaziri kibao uwaziri. wamekua miziho isiyobebeka. tumewapa viwanja pale Kibasila ..mmemuuzia Manji kwa bei chee. tumewapa ruksa ya kuoa wake wanne. mnaongoza kwa nyumba ndogo na umalaya. tumewafundisha usafi mnakuja oficini na janaba. tumesema nguruwe ni mchafu. waislamu wa kigogo wanaongoza kwa kutafuna kitimoto. mmepewa kur an mnasoma Biblia tena kwenye mihadhara. mpewe nini mtulie
Bila rais muislamu,Mzee Ruksa,ungeijuwa lap top,tv,gari,simu za mkononi,wakati enzi za yule mwenzenu,kila kitu foleni,mpaka mkate wa kula shida.
 
Dini ilioanzishwa na mbakaji et mwajipa moyo?hahahhaha wenzen wanaojilipua ndo maana halis ya kifo chenu hata mkifa mtachomwa motooo moja kwa moja hakuna hukumu hpo
 
nyie je ? mnayo qur an lkn kwenye mihadhara mnadiscus THE HOLY BIBLE. kur aan hamwezi kuisoma ndio maana maana imeandikwa sivyo
una hati miliki ya biblia?mpaka ukawa una lia lia?Biblia ni kitabu hakina mwenyewe,yoyote aweza kukisoma na kukichambua
 
Waislam msilalamike bure. tumewapa urais. rais hakai ofisini anakaa hewani. tumewapa makamu hakai ofisini anafungua washa. tumewapa mawaziri kibao uwaziri. wamekua miziho isiyobebeka. tumewapa viwanja pale Kibasila ..mmemuuzia Manji kwa bei chee. tumewapa ruksa ya kuoa wake wanne. mnaongoza kwa nyumba ndogo na umalaya. tumewafundisha usafi mnakuja oficini na janaba. tumesema nguruwe ni mchafu. waislamu wa kigogo wanaongoza kwa kutafuna kitimoto. mmepewa kur an mnasoma Biblia tena kwenye mihadhara. mpewe nini mtulie

Wa Islamu tumewapa bla bla bla bla.
We kiruka njia una uwezo wa kumpa.muislamu chochote cha maana!?
Mnfnssssssss!
Kale hicho kitimoto chako ukojoe ukalale.
Unauliza utupe nini turidhike! Ukitajiwa utatoa??
Usijiingize kwenye mtego ambao kutoka huwezi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom