TUZO ya JF

TUZO ya JF

ndo hivo mkuu,kila jukwaa watu wawili,mana mtu anakuwa na ufahamu kwenye jukwaa lake,mfano JF DOCTOR na SIASA ni vtu tofauti

Maana bila hivyo watu kama akina Riwa hawataingia hata top ten.
 
Maana bila hivyo watu kama akina Riwa hawataingia hata top ten.
mkuu wataingia tu,hata kama ni mchangiaji wa jukwaaa moja.ishu ni ubora na umuhimu wa michango
 
Mwaka jana nilishinda tuzo ya JF Man of the year lakini mratibu wa zoezi akala kona na hakunipa kitita changu cha Tsh. 50,000/=
ngabu usikate tamaa zoezi limeboreshwa na bado mwezi mmoja tu huenda ukanyakua tena..tuzo itakabidhiwa siku ya mwaka mpya
 
Mwaka jana nilishinda tuzo ya JF Man of the year lakini mratibu wa zoezi akala kona na hakunipa kitita changu cha Tsh. 50,000/=

duh, kumbe Superman aliingia mitini na mshiko?
 
tunaweza kulienzi jina la zamani ikaitwa JAMBO PRIZE
 
alimdai nn ten percent,mshindi akasusa

tatizo huyu Bwana nilimwekea pingamizi la kushiriki, lakini Superman akamlinda, kumbe alishapanga kumuwekea pingamizi la kumpa hela... Lol
 
Aagh mi Jukwaa la Siasa tangu walipoanza kulifanyia check-up sina time nalo, I cant post new sredi kule coz nawajua wale jamaa
 
Aagh mi Jukwaa la Siasa tangu walipoanza kulifanyia check-up sina time nalo, I cant post new sredi kule coz nawajua wale jamaa

Wewe kweli mgeni mwenyeji humu. Posts za jukwaa la siasa ziliachwa kupitiwa wiki nne zilizopita.
 
Mkikamilisha mnikaribishe wakati wa utoaji wa Tuzo nina machache ya kuongea
 
Mkikamilisha mnikaribishe wakati wa utoaji wa Tuzo nina machache ya kuongea
FL1 naona unajipigia kampeni ya guest of honour...Superman anasikia nadhani atakupa. sasa sijui ukitajwa mshindi wewe itakuwaje?
 
Back
Top Bottom