David ngayanimo
Member
- Nov 8, 2018
- 32
- 32
PHILBERT KABAGO ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA LZA 2026
Mchango mkubwa wa Philbert Kabago katika kukuza vipaji, kusimamia ubunifu na kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya burudani Kanda ya Ziwa umetambuliwa rasmi kupitia Lake Zone Awards (LZA) 2026.
Kabago ametunukiwa Honorary Award for Outstanding Contribution to Music & Entertainment, tuzo ya heshima inayotambua mchango wake katika maendeleo ya muziki na burudani.
Tukio hilo lilifanyika Jumapili ya wiki iliyopita, ambapo Kabago alipokea tuzo hiyo kama sehemu ya utambuzi wa mchango wake wa muda mrefu katika sekta ya burudani.
Tuzo hiyo inaakisi safari yake ya muda mrefu katika kuunga mkono vipaji, ubunifu na maendeleo ya kiwanda cha burudani Kanda ya Ziwa, huku ikitambua jitihada na kujitolea kwake katika kuleta manufaa kwa sekta hiyo.
Ni utambuzi unaoonyesha kuwa mchango wake umeacha alama muhimu katika historia ya muziki na burudani Kanda ya Ziwa.
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202