TUZO ya JF

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
ni wazo kuwa na tuzo ya member wa mwezi mwaka au wa specific forum kwa kuthamini michango yake yenye manufaa kwa wengine na sio idadi ya post.labda itakuza ufanisi katika kupost na pia itampa mshindi heshima na image nzuri jamvini naye kuwa proud of kuwa michango yake inathaminika,imesaidia na inafaa kuigwa
nawasilisha!
 
Tuzo anapewa Member yoyote yule anayejibu Swali kifasaha hatutizami Wewe ni Member wa mwezi siku au hata mwaka ukipasi kwenye jibu unahaki upewe tuzo lako upo pamoja na mimi Mkuu?
 
mwaka jana si walitoa shindano la wanawake na wanaume ,tukapiga kura nadhani gaijin alishinda kwa wanawake na mwanakijiji alishinda kwa wanaume,mwaka huu mnataka kushindanisha tena.....si watakuwa wale wale tu au kuna face mpya ambazo zinaweza kushinda?
 
Tuzo anapewa Member yoyote yule anayejibu Swali kifasaha hatutizami Wewe ni Member wa mwezi siku au hata mwaka ukipasi kwenye jibu unahaki upewe tuzo lako upo pamoja na mimi Mkuu?
ni overrall contribution bila kujali rank ya member,jinsia wala idadi ya post.unaweza kupata tuzo hata kwa post moja tu cha muhimu hapo ni uzito wake na impact jamvini
 
mwaka jana si walitoa shindano la wanawake na wanaume ,tukapiga kura nadhani gaijin alishinda kwa wanawake na mwanakijiji alishinda kwa wanaume,mwaka huu mnataka kushindanisha tena.....si watakuwa wale wale tu au kuna face mpya ambazo zinaweza kushinda?
hiyo nadhani ilikuwa ya mwaka pia ilitenganisha gender..hii iwe kila mwezi na iwe announced kila mwanzo wa mwezi mpya na huenda after a year hao washindi wa kila mwezi wakapigiwa kura kumpata overall winner wa mwaka
 
hizi tuzo zipo kaka inkoskaaz... Superman alikua modereta
umesomeka mkuu...ngoja tumsubiri superman atuambie mbona huwa hatutangazii matokeo..atuachie hapo"sticky" na awe ana announce overall na forum winner kila mwezi
natafuta like nikugongee naona wameificha
 
Heri wachagulie kutoka kila jukwaa

Hilo nalo neno b'se kuna watu hawajanyagi jukwaa la Chit-chat, wengine jukwaa la siasa ni sumu kwao, wengine jukwaa la kimaitaifa ndio nyumbani, wengine jukwaa la MMU ni kama nyumba ndogo.
 
Hilo nalo neno b'se kuna watu hawajanyagi jukwaa la Chit-chat, wengine jukwaa la siasa ni sumu kwao, wengine jukwaa la kimaitaifa ndio nyumbani, wengine jukwaa la MMU ni kama nyumba ndogo.
ndo hivo mkuu,kila jukwaa watu wawili,mana mtu anakuwa na ufahamu kwenye jukwaa lake,mfano JF DOCTOR na SIASA ni vtu tofauti
 
ndo hivo mkuu,kila jukwaa watu wawili,mana mtu anakuwa na ufahamu kwenye jukwaa lake,mfano JF DOCTOR na SIASA ni vtu tofauti
nikweli zinakuwa prizes za forum tofauti na washindi wake tofauti kama zilivyoainishwa but at the end wanachagua wa overall winner
 
i woul spport personality of the year kwa jukwaa... Maana kila jukwaa la lenyewe.

I have my vote for boss, peasant, kimbweka, emt, riwa, ff, kila mmoja na kukwaa lake
hapo umenena..ur list also imebainisha magwiji wa majukwaa tofaut mkuu
 
Back
Top Bottom