Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 353
Ukitoa jicho na wewe utapewa..yako tutaiita JF gayest member of the year: Mwita25.
Hahaha! Gayest? Mecheka sana jameni!
Ukitoa jicho na wewe utapewa..yako tutaiita JF gayest member of the year: Mwita25.
Alivyokuwea na wivu, lazima anipeleke lupango wallah!Khaa staki..
PAW ataifagilia we ngoja aone..
hizi tuzo zipo kaka inkoskaaz... Superman alikua modereta
Mkishampata huyo mje kwenye tuzo nyingine:
Mchakachuaji wa Mwaka
Mla BAN maarufu wa mwaka
Mtumiwa PM maarufu wa Mwaka
Mtongozaji maarufu wa Mwaka
Mtoa dozi ya vidonge maalum wa mwaka (Hapa tuko wawili tu na mai felo tableti wangu)
Mtumiaji mzuri wa kiinglish wa mwaka
Mtoa sredi nyingi zaidi wa mwaka
Mchangiaji maarufu wa mwaka (hata kama anapost "Nimepita tu" nyiiiiiingi)
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
heheeh hizo red hapo fellow tablet hatuna mpinzani aisee! hapo lazima tuzo iende jumuiiya ya vidonge tu