Tuweni makini na marafiki tulio nao

Tuweni makini na marafiki tulio nao

Kitu pekee nilichoshindwa ni kuwa na rafiki damdam,,,yaani urafiki wa hivi ulinishindaga
Sijawahi kuwa na rafiki wa hv na sitakua nae

Bora usijaribu kabisa[emoji1430][emoji1430] Mimi huyo tumeishi pamoja chuo miaka3
Tumepitia shida na raha nyingi tu ndio maana hadi sasa siamini[emoji28][emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeona niongezee hili, comments ni nyingi!!! Jamani sijaomba ushauri tena hapa wa kuhusu rafiki Au bbydady nimetoa briefly tu kiasi cha nn kilichotokea, na ushauri kwa wale wenye marafiki Au urafiki kama niliokua nao mimi[emoji1]

Wote nimewasamehe ila urafiki tena siutaki sio kwahuyo tu kwa mtu yoyote Yule nimeshapata funzo, pia yawezakua bbydady ndio tatizo lakini sasa nitafanyaje? NIMESHAMSAMEHE!!! Pia hali ngumu yeye ndio msaada wangu so siwezi kuachana nae kwasasa, wengi mnajua changamoto za ujauzito nikija kuwaomba msaada mtanisaidia[emoji848]acheni tu niwe kipofu kwasasa[emoji16][emoji16]

Mimi nimewapa tu ushauri wale wenye marafiki damudamu kua wae makini yasijekuwakuta ya kwangu... mwanaume siwezi kumbadilisha ikifika kuachana tutaachana[emoji1424]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu jamaa yako mpuuzi nachelea kusema anakosa vitu fulani vya kiume.

Mpk anakutumia screenshots basi kuna shida mahala, mwanaume hata ukamatwe chumbani na mwanamke ni mwiko kukiri lazima utumie nguvu zote kupinga.

Kingine huwezi kukaa na msg za demu mpango was kando kwenye simu, ili iweje?? Bila shaka amejua udhaifu wako hivyo unapaswa kujirekebisha ama ukubaliane na matokeo ya kuwa mnashare sana na utakuwa unaonyeshwa kabisa waziwazi

Sent using Jamii Forums mobile app
amekosa vigezo vya mabaharia
 
Kuwa makini jiandae kuwa single mom na hyo mimba ikifikisha seven months ambapo huwezi kutoa Tena utaona rangi zote aisee, don't blame ur friend wanaume ni zaidi ya mbwa alitongozwa ukute alihaidiwa ndoa, na mwanaume kawa mpole ili ujifungue kwanza, Anza kujitegemeq kiuchumi ukiwa na mimba maana baadae atakapokimbia uwe unaweza kuji support next time be careful na kubeba mimba bila ndoa unasema umesamehe I can assure ur hurt ni shida zimebakisha, otherwise best of luck kwa ujauzito na experience uliyopata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!

Asanteni wote mlionipa ushauri from the previous post

Kitu nilichogundua ama kupata somo ni kuwa kutokumuamini yeyote yule haswa marafiki zetu wa karibu sana maana anakujua na muda wowote anaweza kubadilika.

Huyu aliyekuwa rafiki yangu ni wa muda mrefu sana Yani sana almost 5+yrs, katika urafiki wetu tumepitia/tumefanya mambo mengi, mazuri na mabaya.

Mwaka jana nilibahatika kupata mwenza na nilimshirikisha from the scratch of our relationship btn me and the bbydady, kwa kuwa ni rafiki yangu wa karibu na ninamjua wake sikuwa na hiyana kumtambulisha kwa mtu wangu, kumbe ndio namkaribisha nyoka mwenye sumu kali

Kilichofanya nigundue, kwanza ni Mungu tu pili mwaka jana hiyo aliweza kuwasiliana na mtu wangu bila mimi kujua baada ya kujua nikamuweka mbali yangu, na Mr pia nikamwambia sitaki wawe na mazoea tena.

Sasa baada ya kuona sipo close naye tena as we used to be, na nikahama kabisa mkoa sikumtafuta wala kumwambia chochote kunihusu, ndio kumtafuta bbydady wangu na kumwambia vitu vya uongo kuhusu mimi kuanzia February hadi March, hapo mimi Sijui chochote kinachoendelea, na wote wako mbali na mimi!!

Nikatumia technic kumpigia mwanamke kwanza nikamwambia nimeona mawasiliano yenu hadi picha ulizokuwa unamtumia (hapo Sijui chochote) kweli bi dada akaanza kujing’atang’ata japo alikataa hawajawasiliana tangu mwaka jana, sikumpa nafasi, muda huo huo nikampigia bbydady nikamwambia nimejua ukweli wote nachotaka nikusikia upande wako maana mwenzako keshakubali mnawasiliana na msgs zako kanitumia, kweli bbydady naye akajaa akanimwagia ukweli wote hadi screenshots zao!!! Dah’ hii pia ni siku mojawapo niliyowahi kuumia zaidi hapa duniani, bi dada kajimaliza yote ya ukweli na uongo in short mambo ni mengi, hadi alitaka kumpa tigo bbydady (ukweli wanaujua wao japo mwanaume kakataa hajawahi kumla)

Nyie mliokuwa mnauliza maybe kanizidi viwango, hakuna chochote alichonizidi ningeweza kuweka picha ila ni kwaajili tu ya privacy

Bbydady nishamsamehe maana ndio tunatarajia kupata mtoto panapo majaaliwa, ila urafiki na huyo bidada ndio kwishnehi.. nimemblock kote, mengine nimemuachia Mungu mwenyewe atende kama ambavyo alitaka nijue pasipo wao wenyewe kufahamu!!

Cha mwisho, tusiwaamini sana rafiki zetu hata ndugu muda mwingine, haijalishi mna muda mrefu kiasi gani au mambo mangapi mmefanya pamoja, Mimi huyu alivyonibadilikia hadi sasa naona naota[emoji1][emoji1] Pia kufunguka kila kitu kwa marafiki sio poa hujui la moyoni mwake, nimejifunza pakubwa, nililazwa kwa muda ila sasa naendelea poa mimi na kijacho wangu

Muwe makini sana aiseee!! People change...



Nimeona niongezee hili, comments ni nyingi!!! Jamani sijaomba ushauri tena hapa wa kuhusu rafiki Au bbydady nimetoa briefly tu kiasi cha nn kilichotokea, na ushauri kwa wale wenye marafiki Au urafiki kama niliokua nao mimi[emoji1]

Wote nimewasamehe ila urafiki tena siutaki sio kwahuyo tu kwa mtu yoyote Yule nimeshapata funzo, pia yawezakua bbydady ndio tatizo lakini sasa nitafanyaje? NIMESHAMSAMEHE!!! Pia hali ngumu yeye ndio msaada wangu so siwezi kuachana nae kwasasa, wengi mnajua changamoto za ujauzito nikija kuwaomba msaada mtanisaidia[emoji848]acheni tu niwe kipofu kwasasa[emoji16][emoji16]

Mimi nimewapa tu ushauri wale wenye marafiki damudamu kua wae makini yasijekuwakuta ya kwangu... mwanaume siwezi kumbadilisha ikifika kuachana tutaachana[emoji1424]


Sent from my iPhone using JamiiForums
na ivi unaingia kwenye kulea utaibiwa sana tu
 
Back
Top Bottom